Dunia imeshakumbwa na vita nyingi sana, ila kwa mujibu wa historia zipo vita kuu mbili zilizoigawanya dunia kwenye pande mbili, vita zilizosababisha vifo vya mamilioni ya watu, vita ya kwanza ya dunia(WW1) na vita ya pili ya dunia (WW2).
Tangu kuisha kwa vita ya pili ya dunia mnamo mwaka 1945...