Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini
Rai hiyo imetolewa Jijini...
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.
Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme Sulemani ili maandiko yako yapate kibali na kuhifadhiwa ilikuwa sahihi kuhifadhiwa kwa mfalme sulemani...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy).
Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba amesema kwamba wanakusudia kufanikisha kupandisha wiano wa vitabu vya kiada ili kufikia kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja yaani (1:1) kuanzia ngazi ya awali hadi kidato cha sita, ambapo mpango huo utarajia kugharimu...
WhatsApp 0737317870 au jambojambo633@gmail.com
1. Richest man in Babylon 20,000.
2. The Law of success 18,000.
3. Side hustle 45,000.
4. The magic of thinking Big 30,000.
5. How to handle difficult people 25,000.
6. Rich dad, poor dad 25,000
7. The subtle art of not giving a f* 45,000.
8. Talk...
Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni.
Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya!
Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika.
Mafunzo yalikuwa...
Wakuu heshima kwenu.
Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali.
Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa...
Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari kwenye ndege siku ya mkesha wa Krismasi.
Fikiria unatazama filamu, iwe peke yako na familia au...
Habari za asubuhi wanajukwaa,
Naomba kujua tofauti ya vitabu tajwa hapo juu maana naona kuna shule hasa hizi za English Medium zinatumia vitabu vya MEP kufundishia na zingine zinatumia vitabu vya TIE kufundishia.
Kwa mfano mwanangu alikuwa anasoma shule flani (ameshamaliza)na walikuwa...
Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na lugha amabayoo sio yake mnajuaa dini hii ikojeee
The – book – I – Read, 2024
Ni wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka, tunapoelekea kuhitimisha mwaka 2024, na kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, tukimaanisha ‘For the Sake of Old (good) Days,’ ikiwa ni ishara ya kuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine (au kusheherekea...
vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli.
kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu...
Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti.
Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
Habari ndugu zangu,
Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa "imara" na kutokutoa hisia zao waziwazi. Hili linaweza kusababisha changamoto kubwa za afya ya akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.