vitabu

  1. Analogia Malenga

    Mawazo ya Kezilahabi juu ya usomaji wa vitabu

    ''..ulianza lini kutoamini…” “nilipoanza kusomasoma na kusitasita” Nagona Kezilahabi, ni mtu anayeona umuhimu wa kujisomea vitabu, katika kila kitabu chake lazima akupe picha ya mtu kusoma kitabu. Na namna mtu husika anavyobadili fikra zake kupitia usomaji wa vitabu. Katika hii dunia, watu...
  2. Paula Paul

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind...
  3. benny gilbert

    Kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani?

    Ukiwa kama mwandishi mchanga unajifunza nini kupitia Eric Shigongo? Waandishi wengi wanatamani kutoa vitabu lakini hawajiuliza kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani, kuna siri gani? Unaweza toa maoni yako kuhusu soka la vitabu vya hadithi kwa sasa na kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu...
  4. R

    Waandishi wa hathi/simulizi kwa Kiingereza wanatafutwa

    Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au amekwishaandika hadithi za kubuni au za kweli na angependa ziuzwe kama kitabu duniani pote tafadhali...
  5. Makirita Amani

    Vitabu 50 Unavyopaswa Kuvisoma Kabla Mwaka Huu 2019 Haujaisha Kama Unataka Mafanikio Makubwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Maarifa yote mazuri ambayo yanaweza kukutoa hapo ulipo sasa na kukufikisha kule unakotaka kufika yapo kwenye vitabu. Majibu ya changamoto zote unazopitia sasa, ambazo zinakukwamisha sana, yapo kwenye vitabu. Na kitu kipekee kinachokuzuia wewe usiwe na yale maisha...
  6. R

    TOVL - Maktaba ya mtandaoni inayohimiza matumizi ya kompyuta kwa watoto

    Habari wana JF .. Nimekutana na hii habari mwananchi nikaona ni vizuri kushare Rainer Mwashu, mtaalamu wa utengenezaji wa mifumo ya kompyuta, ambaye kwa sasa ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari, iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , ametengeneza maktaba ya mtandaoni kwa...
Back
Top Bottom