Habari za wakati huu;
Kuna mtu ameniomba ushauri kwamba anataka kuwa mwandishi wa vitabu.Kwa kweli nilifurahi ila nilimuuliza analenga kuandika vitabu kwa ajili ya kina nani?Alisema Watanzania wa Rika Lolote lile?
Basi baada ya mjadala mrefu na mipango mingi nikasema nirudi hapa niwaulizeni...
Naomba nitumie nafasi kuwashitua waandishi maarufu wa vitabu duniani kuwa kuna fursa inakuja na hii si nyingine bali ni ya kuandika kitabu kinachoweza kuitwa: The Decline and Fall of Chama Cha Mapinduzi.
Hoja yangu hapa ni kuwa,vitabu vinaweza kuandikwa zaidi ya kimoja,ila ataekuwa wa kwanza...
Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua
hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake).
Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi...
Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
Mambo vipi wakuu,
Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu.
Lengo langu ni kupata...
Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
Habari wakuu,
Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
Kwa wale wapenzi wa riwaya za Hayati Ben Mtobwa, ambaye mpaka sasa tumeweza kufikisha riwaya aina 15 zikiwemo riwaya za kipelelezi zinazombeba Joram Kiango kama mpelelezi hodari anayeweza kufumbua mafumbo mengi yanayotukia kwenye jamii.
Mbali na hapo, kuna riwaya za kijamii kama Zawadi ya...
Wengi wa wanaosoma vitabu wanapoteza tu muda wao, wanakazana kusoma ili waweze kuwaambia wengine wamesoma vitabu vingapi, huku maisha yao yakiwa hayabadiliki kwa namna yoyote ile.
Huu siyo tu upotevu wa muda, bali pia kuchafua akili, maana kama ambavyo Alexander Pope amewahi kusema, “Maarifa...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi '...
Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha:
Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya kujifunza kwa vitendo hapa Kibaha au kwa njia ya video ukiwa popote. Vitabu hivyo ni:
1. Miongozo ya...
Katika nyumba vitu vinavyoibiwa sana na watu wako wa karibu kabisa ni vitabu, kama una shelf ya vitabu kaa mwaka mwaka mmoja halafu ukaikague shelf yako lazima utakuta robo tatu ya vitabu vyako vimeibiwa.
sababu kubwa ya wizi huo ni raha iliyomo katika hivyo vitabu.
Kwa masikitiko makubwa...
Habari wakuu!
Nauza vitabu vifuatavyo:
1. Conceptual Chemistry Class XII Volume 1 Bei=
2. Cell Biology, Genetics, Molecular Biology, Evolution and ecology Bei 28,000/=
3. Advanced Physical Chemistry S.Chand Bei 18,000/=
4. Practical Chemistry S.Chand 15,000/=
Vitabu vinapatikana Arusha Mount...
Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba...
Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha.
CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND )
CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND)
A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden)
Vyote...
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana.
Asanteni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.