Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu.
Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho.
Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao waandishi unakuja kugundua vitabu hivyo haviwasaidii sana kiuchumi.
WHAT IS THE PROBLEM?
Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books...
Mtu anae Soma vitabu...
Wakuu Habari,
Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?.
Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
UPDATE LEO JULY 2 2021
LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia...
Pole na majukumu wa Tanzania wenzangu kwa kulijenga taifa letu.
Jamani huku kwetu mkoa wa Songwe sasa ndoo ya mafuta ya kupikia elfu themanini nayo ni Toka nchi jirani ya kwetu ni elfu themanini na tatu na hayapatikani .sukari ya Tanzania Hamna kabisa napo ukibahatika ni tsh 3,500kg.
Cement...
Habari wana elimu, kama title inavyojieleza hapo juu. Nauza softcopy ya vitabu vya maswali na majibu kwa combination ya PCM.
Kuna vitabu vya topics kama
1. Organic Chemistry Questions & Answers
2. Inorganic Chemistry Questions and Answers
3. Mechanics Questions and Answers
4. Mathematics...
Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa?
Sadiki na Chitemo
Bwana Sikuelewi
Muwa uliozamisha meli
Hawafu mwenye nguvu
Muwa uliozamisha meli
KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI
Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA...
Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia.
Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza hadharani kudai sisi...
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio.
Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa.
https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake.
Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma.
Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa.
Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache.
Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo
Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili.
Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika.
Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
Habari wakuu? Ni mwisho wa mwaka. Tutafakari usomaji wetu wa mwaka huu. Vitabu vingi nimevijua kupitia michango ya members humu.
Mi nimesoma vitabu vichache tu, sikuwa na usomaji mzuri.
1. Screw business as usual cha Richard Branson.
Anaeleza jinsi biashara zinaweza kubadilika na kuweka...
Habari za Leo wakuu,
Ni vitabu vipi vizuri wa combination ya ECA (Economics, Commerce and Accounting).
Au kama una vitabu vya hii combination nijuze hapahapa.
Kwa majina naitwa abeli kikimba, napatikana mkoa wa Iringa, mimi ni mwandishi na napenda kuandika sana na nimeandika vitabu saba ila bado ni soft copy, naomba mnijuze kama kuna sehemu iringa hapa,mbeya morogoro au dar wanapoprint vitabu kwa bei nafuu itakayompa urahisi msomaji kununua.
Pia...
Habari zenu.
Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine.
Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo
Simu: 0713039875
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wanamshikilia Mfanyakazi za Ndani , Happiness Sela (24) kwa tuhuma za kumchoma kisu Ezekiel Nyamuko (24) kwa kile kinachodaiwa kuwa alipatwa na hasira baada ya kuambiwa na mtu huyo kuwa ana roho mbaya kama sura yake ndio maana haolewi.
Chanzo: HabariLeo
Sasa...
Asee nimekua rafiki sana wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2009 lakini naona hakuna kitu nimegain zaidi ya concentration yangu kuwa katika vitu visivyokuwa na maana. Kama niliweza kushinda jaribu la kupiga punyeto na kuangalia porn nadhani nitashinda.
Nilichogundua mambo mengi tuyaonayo...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa.
Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.