Nafikiri kuna mambo yanatakiwa kuwekwa katika vitabu ili kuweka historia sawa. Tunahitaji vitabu vidivyo kuwa kna muegemeo wowote, vitakavyotoa fact tu. Unafikiri vitabu kuhusu nini? Mimi nafikiri.
1. Kitabu kuhusu kashfa ya Lowasa na kujiuzulu kwake.
2. Kitabu kuhusu maisha ya JP Magufuli...
Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP.
Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app inapatikana katika post no 16.
Vitabu vilivyopo mpaka sasa.
1. Hekaya za Abunuwasi na hadithi...
LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa...
1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania.
2. Licha ya...
Godson kitomary
Pichani ni kitabu cha "COLENEL GADAFFI" Kinachoitwa "THE GREEN BOOK" Na ndani yake kina mambo matatu kama ifuatavyo:
1. Jinsi ya kutatua matatizo yatokanayo na demokrasia
2. Kutatua matatizo ya kiuchumi
3. Misingi ya kijamaa na nadharia ya mataifa yanayoendelea.
Ndicho kitabu...
Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu.
Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini yako?
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?
Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
Vinasisimua sana, kimoja kinahusu Red sea resort hadi kuna movie yake imechezwa, kingine kuhusu Sylia Raphael bado nakimalizia hiki.
Attachments hizi hapa, kwa enquiries nicheki PM
Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
Jamani yeyote mwenye link ya kuvipata vitabu mbalimbali ya Physics kwa class 12/ form six na vinginevyo atusaidie mana kuna link niliona humu mwezi uliopita ka sijakosea Ila saivi sioni.
TAFADHALI JAMANI NI MUHIMU SANA LINK HIZO NAOMBENI HATA MWENYE FILES TU YA HIZO VITABU AWEKE HUMU.
Tuachane na comics, ni kitabu gani ulisoma ukacheka sana. Mi nilisoma kitabu kinaitwa Haifai. Hiki kinazungumzia jinsi ya kujiendesha kwa adabu katika mazingira mbalimbali. Muandishi anaitwa Abdu Baka, ni cha zamani, miaka ya 60 huko. Hiki kitabu kinafurahisha sana.
Kingine nilichocheka sana...
Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa...
Habari wanaJF, ni tumaini langu humu kumejaa watalaamu wa Finance and Accounting.
Mie ninahitaji kujifunza na kusoma Finance personally.. kwa hivyo nahitaji recommendations ya vitabu Bora equivalent kwa Dip au Degree ya Finance. Kama utaniwekea na PDF itakuwa poa zaidi.
Asanteni.
Habari za asubuhi wanajamvi,
Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali
1. Rich Dad Poor Dad
2. Why A students Work for C students
3. Cash Flow Quadrant
Vitabu vyote hivi vimeandikwa na mwandishi Robert Kiyosaki. Kama kuna vitabu vingine mfano wake pia itakuwa vizuri
HILI NI JUMA ZIMA LA VITABU DUNIANI 5
''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam''
Mwandishi: Mohamed Said
Mchapaji: Readit Books Ltd Dar-es-Salaam
Ukoo wa Rajabu Ibrahim Kirama wa Machame Nkuu umehifadhi kwanza kichwani historia ya wazee wao kwa simulizi kutoka kizazi...
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1
"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said
Mchapaji: Africa Proper Education Network, Dar es Salaam
Hiki kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.
Kupitia kitabu hiki...
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1
"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said
Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.
Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.