Natumai mko poa sana wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu
Ninaomba yeyote mwenye softcopy za C- Programming books aniseidie nizipate, nitashkuru sana
Ahsanteni in advance.
Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P?
Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable,
Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili ,
Mwenye majibu atusaidie
SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?
Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili hufundishwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 hapa nchini. Nimeshauza kwa baadhi ya wanafunzi waliopo Dar es...
Habari wana Jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kwa Kidato cha 5 na 6. Kitabu ni cha mfumo wa "Review' yaani kina maswali 108 pamoja na majibu yake. Bei ni shs 10,000. Mimi napatikana Dar es salaam sehemu za Tegeta. Unaweza kuagiza kwa kunipigia simu namba 0744...
Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA
Vitabu hivi vina historia ya kusisimua ya wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika katika chama cha TANU lakini historia imewasahau.
Ukianza kufungua ukurasa wa kwanza hutokiweka chini hadi umemaliza kukisoma.
Soma mazungumzo ya Tewa Said Tewa na...
You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be solved - maybe we can change the problem so that the list is kept ordered?”
Or sometimes the problem...
Habari wakuu,
Kuna wakati nilihitaji kujua lwanini kampuni ya cocacola inawatumia watu maarufu duniani kutangaza bidhaa zao tena inawalipa mabilioni ya pesa, nkatamani kujua hayo matangazo yanamshawishi vipi binadamu anunue cocacola, nkajiuliza kwanini wakati Cristian Ronaldo anaongea na...
Ninashida na kitabu cha someni kwa furaha 2B kile chenye hadithi ya Bulicheka. Na kitabu cha Alfu Lela Ulela(Ile tafsiri ya zamani achana na hii mpya ya Mkuki na nyota) vitabu vyote vinne. Ukivipata viscan na kunitumia scan yake.
Hicho someni kwa furaha ntalipia 10,000 na hivyo Vya alfu lela...
Salaam WanaJF!
Binafsi ni msomaji sana wa Vitabu. Kupitia vitabu nimejifunza mengi, nimesafiri kwenda kwingi na nimekutana na wengi. Katika Usomaji wa vitabu, kila mtu anavyo vitabu ambavyo kwake ni bora zaidi na kwa sababu zake. Kupitia uzi huu naomba tushirikishane vitabu bora kabisa kwako...
Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO.
Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM.
Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
Rafiki yangu mpendwa,
Ukiniuliza ni kitu gani ambacho mtu yeyote akikifanya anaweza kubadili kabisa maisha yake na yakawa bora, sitafikiria mara mbili.
Nitakujibu mara moja kwamba ni USOMAJI WA VITABU.
Ninaamini mno kwenye usomaji wa vitabu, vimebadili mno maisha yangu na kila ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.