vitabu

  1. malisoka

    Sisi Tunaokula Mboga, Tusiwalaumu wale wanakula nyama" Vitabu Vitakatifu vimeandika"

    Kumekuwa na kashfa za hapa na pale kati ya nchi hii na nchi zile kwamba wengine wanachukua juhudi na wengine wana wemejachia kama hakua corona. Nimesoma leo asubuhi Watanzania tumeanza kushutumu nchi zingine kama kejeli kwamba wapambane , mara wajibebe nk. Sisi tuliochagua kula Mboga...
  2. Eagle J

    Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  3. Ryamalungu

    Vitabu vya lugha ya Kiswahili

    Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
  4. Makirita Amani

    Wakati dunia inafungwa, wewe fungua vitabu (vitabu 12 vya kusoma wakati unajikinga na virusi vya Corona)

    Kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa mafua makali unaoendelea kwa sasa duniani, dunia imefungwa. Karibu kila nchi duniani imesitisha safari kati ya nchi moja na nyingine, hivyo watu wanaofanya kazi kwenye sekta za usafirishaji, malazi na utalii kwa sehemu...
  5. Makirita Amani

    Sababu 10 kwanini unapaswa kusoma vitabu kila siku

    Siyo siri kwamba usomaji wa vitabu umeshuka sana kwa walio wengi. Watu wanatumia muda mwingi kwenye simu zao, kwenye mitandao ya kijamii na kwenye kufuatilia habari kuliko kusoma. Na hili ndiyo chanzo kikuu cha matatizo na changamoto ambazo watu wengi wanazipitia kwenye maisha yao. Ipo kauli...
  6. lutemi

    Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

    Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness." The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to potentially use as a biological weapon during wartime. The lab is ironically located in Wuhan...
  7. Analogia Malenga

    Wanaotumia vitabu visivyo na ithibati ya Serikali kuchukuliwa hatua

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Tate Ole Nasha amesema serikali haitegemei kuona vitabu ambavyo havina ithibati ya serikali na ikigundulika hivyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wahusika. Hayo yalielezwa leo wakati wa uzinduzi wa usambazaji vitabu vya kiada...
  8. Makirita Amani

    Kama Hujasoma Mamia Ya Vitabu, Wewe ni Mjinga

    James Norman Mattis (kuzaliwa Septemba 8, 1950) ni jenerali mstaafu wa jeshi la maji na anga la Marekani. Katika maisha yake ya uanajeshi na uongozi aliweza kushiriki kwenye vita mbalimbali, ikiwepo vita kubwa kama Vita ya Persian Gulf, vita ya Afghanistan, na vita ya Iraq. Pia amewahi kupata...
  9. Erythrocyte

    Yuko wapi mtunzi mahiri wa vitabu vya kufundishia ambaye pia ni kada wa CCM Nyambari Nyangwine?

    Huyu mtu alikuwa ndio nguzo ya CCM Tarime, lakini ni kitambo kirefu sijamsikia, atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chake kwa halali na kwa haramu na kwa mara ya mwisho alionekana kwenye tukio la kung'oa bendera za Chadema mjini Dodoma Yuko wapi sasa?
  10. OLS

    Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

    Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao Vitabu vya Watoto Muandishi Jina la kitabu W. Mkufya Androko na Simba Ziraili na Zirani Richard Mabala Mabala the Farmer Hawa the Bus Driver Elieshi Lema Safari ya Prospa Mwendo Parched Earth Nyamanza Ndege wa Amani Parched Earth: A Love...
  11. Da'Vinci

    Orodha yangu ya waandishi wa vitabu na watunzi wa stori..

    Hi.. Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu au stori mbalimbali itakua kuna watunzi utakua unawakubali, kuna watu wamejaliwa vipaji sana humu duniani yaani ukisoma kitu unajiuliza alifanyaje hadi akatunga kitu kama hiki. Unakuta stori imepangwa ikapangika akili kubwa imetumika. Binafsi hii ndio...
  12. Sky Eclat

    Vyakula vinavyotibu cancer vipo kwenye vitabu vya Dr' Sebi

    Unaweza kuvipata kupitia Amazon
  13. britanicca

    Kuachana na Siasa nakuja kivingine kupitia Vitabu nilivyosoma 2019: ntawalisha maarifa

    Nimesoma vitabu 17 Mwaka 2019 nimepata maarifa kadhaa tutagawana hapa na kuelekezana kistaarabu 1.The Black mass-John le Carré: huyu mwandishi anaelezea kwamba kabla ya uvamizi Wa Iraq America walijua fika kwamba hakukuwa na Silaha za Nyukilia ndani ya Iraq ilikuwa ni mbinu ya america...
  14. Zitto

    Zitto Kabwe: Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2019

    Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2019 – Zitto Kabwe Mwaka 2019 nimejaaliwa kusoma vitabu 34 (2018:49 na 2017:36+3). Ni sahihi kuwa idadi imepungua sana, hii ni kwa sababu shughuli nazo zimekuwa nyingi, haswa masuala ya ujenzi wa chama na kuhami demokrasia. Mwaka 2019 ndio mwaka nimekanyaga...
  15. Red Giant

    Umesoma vitabu gani mwaka 2019?

    salama wakuu, kwanza naomba kupropose kuwa tarehe 9 desemba kila mwaka uwe mwanzo wa kujadili usomaji wetu wa vitabu wa mwaka husika huku tukisherekea uhuru wa kifikra utokanao na usomaji na pia sababu tunahitaji muda wa kujadili kabla mwaka hujaisha. Kama mods wataona inafaa wawe wanatuwekea...
  16. Babu sea

    Msaada: Nitapata wapi vitabu vya muziki vya Lista Eliya?

    Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki. Ameeandika vitabu vinavyo husu maswala mbalimbali kama vile upigaji wa kinandaupigaji wa gitaa n.k Nimevitafuta sana hivyo vitabu...
  17. Victor Mlaki

    Maktaba ya ujerumani (Bavaria) imefikia uamuzi wa kurejesha vitabu vya freemasons vilivyoibiwa miaka 80 iliyopita

    Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita. Vitabu hivyo inasemekana vina maelezo kuntu ya matambiko "rituals" ya ibada za ki-freemasons.
  18. Makirita Amani

    Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

    Mwaka 2014 nilipata maono ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hii ni baada ya kuanza kusoma vitabu mwaka 2012 na kuona manufaa yake kwenye maisha yangu, na hapo kuamua kuweka nguvu zaidi kwenye kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Maono hayo niliyashirikisha kwenye makala niliyoandika...
  19. GuDume

    Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu

    Huyu E. Kezihalabi ni nani? Euphrase Kezilahabi alizaliwa 13 Aprili 1944 huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya Ziwa Viktoria. Babake Vincent Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na Euphrase alikuwa na ndugu 10 yaani wavulana 5 na wasichana 5. Alisoma shule ya msingi ya Nakasayenge...
  20. U

    Naomba kujua duka la vitabu vya Hisabati vya kidato cha tano na cha sita Jijini Mbeya

    WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
Back
Top Bottom