vitambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

    Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
  2. O

    Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  3. mdukuzi

    Tumuombee dua Prof. Janabi aishi maisha marefu, kinyume chake mafundisho yake yatapuuzwa, Taifa litaangamia kwa vitambi

    Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha. Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu...
  4. Christopher Wallace

    Mbona askari wa nchi za wenzetu hawana vitambi?

    Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibu
  5. GoldDhahabu

    Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
  6. sky soldier

    Do You Think Tanzania women need To Work On Their Protruding Bellies (vitambi) ?

    On this pleasant Saturday, mida ya jioni tukiwa tunapiga story mbili tatu tukagusia discussion that revolved around a prevalent notion – the belief that Tanzanian ladies are negligent when it comes to their bellies. We expressed the viewpoint that once these women have well-rounded buttocks...
  7. Kichwamoto

    Mtazamo wangu: Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wajiandae kwa aibu kubwa 20.10.2023

    Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa. Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba...
  8. Leejay49

    Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

    Signed out
  9. R

    Kwanini vitambi hakuna vijijini wakati wamama na wanaume hula viporo?

    Vijijini hakuna wanawake wenye vitambi wala wanaume pamoja na kwamba wanakula viporo na lishe isiyo bora kama mjini. Je, watu wa town nao waishi kwa viporo na vyakula kama vijijini?
  10. KING MIDAS

    Zijue aina za vitambi. Je, cha kwako ni kipi?

    Je, kitambi chako ni kipi? Kuna kutambi kinachosababishwa na pombe, bila kujalisha ni mataputapu au bia. Kuna kitambi kinachosababishwa na msongo wa mawazo. Na pia kuna vitambi vyasababishwa na matatizo ya ki hamoni
  11. The unpaid Seller

    Nini kinasababisha wanawake wengi siku hizi hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume

    Peace be to you all, Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa. Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume...
  12. BARD AI

    Dar, Kilimanjaro zaongoza wenye Viriba Tumbo’

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amesema kuwa tatizo la uzito uliozidi na kiriba tumbo limekuwa janga la kitafa katika mikoa ya Kilimanjaro, Dar es Salaam, Unguja na Mjini Magharibi huku udumavu nao ukishika kasi katika mikoa ya Iringa, Njombe na Rukwa. Akizungumza wakati akizindua mbio za Mwenge...
  13. Analogia Malenga

    NBS: Wanawake wengi Tanzania wana vitambi

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  14. BARD AI

    Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

    Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
  15. Raia Fulani

    Wanawake kateni vitambi

    Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
  16. Lycaon pictus

    Wengi wenye vitambi walipata utapiamlo utotoni

    Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
  17. E

    Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  18. Erythrocyte

    Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  19. Lee Swagger

    Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

    Habari za Muda Ndungu Zangu, Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda. Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
  20. Idugunde

    Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
Back
Top Bottom