Zamani wanawake wenye vitambi nlikua sina hata mzuka nao, nikishakuona mbele umevimbavimba tu unakua tayari umeshanikata stimu, sijisumbui hata kuomba namba ila sasa hivi upepo umenigeukia.
Yaani akipita mtu mwenye kitumbo chake nasikia mwili wote unasisimka, nilikuja kugundua nakosa mambo...
Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza unene ama kitambi na wakati huohuo kuna mtu anakaanae na kwa asilimia kubwa wanashare kinachutua...
Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana...
Wataalam
Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
Mafuta ya ziada yanayozunguka maeneo ya kiunoni mpaka tumboni ni hatari kwa afya, haya mafuta husambaa mpaka kwenye kuta za moyo na kuleta madhara kwenye mishipa inayosafirisha damu kwenye moyo.
Kimaadili askari hupewa masaa nane kwa wiki kwaajili ya mazoezi ya viungo. Hata ukitembea tu kwa...
Kwa sasa vitambi sio kwa wanaume pekee bali hata hawa jinsia ya upande wa pili nao wametupokea tena kwa kasi nguvu na shauku na wanakuja kwa kasi sana nowdays.
Kulikuwepo na fedheha nyingi toka kwa wanaume wenye vitambi walidhihakiwa kwa maneno ya kejeli iliwasononesha sana Zama za nyuma.
Ili...
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje, wanakeraaaa.
Unakuta dada mzuri ajabu, shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh, kuja mbele sasa, chevuuuu, tumbo hilo! Uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho, mnakula sana kuliko hata midume, machips mayai, manyama choma, mabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.