vitambulisho vya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

    Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa? Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba...
  2. mfalmeselemani

    Bunge labaini madudu vitambulisho vya taifa

  3. gimmy's

    Waziri mwenye dhamana fuatilia NIDA wamalizie mchakato wa kugawa vitambulisho vya taifa

    Zipo taasisi za serikali ni kero sana hapa nchini,huwa hazifanyi kazi mpaka zisukumwe, Wapo watanzania kwa mamilioni tumepewa no za NIDA pale awali lakini kupatiwa vitambulisho sasa ni zaidi ya miaka miwili hakuna kitambulisho wala taarifa kutoka NIDA kwamba ni lini tutasambaziwa vitambulisho...
  4. Tindo

    Waziri Simbachawene tunataka vitambulisho vya taifa, udhibiti wa maoni ya watu mtandaoni utakuja mwisho

    Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni. Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wote wenye kustahili, kisha ndio utake kuwafurahisha hao waliokuwa cheo kwa kudhibiti maoni ya...
  5. Replica

    Serikali: Watanzania wote wenye sifa watapewa vitambulisho vya Taifa kufikia Disemba 31, 2021

    Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini...
  6. kmbwembwe

    Kuna nini NIDA hadi vitambulisho havitoki tena?

    Nchi zetu changa zinapelekeshwa kila siku na ubeberu. Ukiwepo mpango wowote wenye maslahi kiuchumi kwa umma ila unakinzana na maslahi ya ubeberu au vikaragosi vyao unakwama. Ni vigumu mtu kuamini sababu zinazotolewa kila siku kwanini mpango wa Serikali kuwapatia wananchi wake vitambulisho...
Back
Top Bottom