Niwakati muafaka kwa NIDA,kuweka form online kwa ajili ya waliopoteza vitambulisho vyao.
Haina haja kukaa foleni ya watu 600 pale mombasa/gmboto na kupigwa na jua kali na foleni haiendi.
Waweke sehemu ya ku upload loss report,na kulipia hiyo 20,000/, kisha mtu asubiri kutumiwa sms ya kuchukua...