Serikali imesema zaidi ya watu 900,000 ( laki tisa) wameshafungiwa line zao za simu baada ya kushindwa kujisajili kwa alama za vidole.
Serikali imesema zoezi la ufungaji simu limegawanywa katika makundi matatu;
Kundi la kwanza ambao tayari wameshafungiwa ni wale wenye Vitambulisho vya taifa...
Hali zenu waungwana.
Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi?
Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
Serikali ya Tanzania imesema itatumia hekima kuwasaidia wananchi walioshindwa kusajili laini za simu kwa sababu ya kukosa kitambulisho cha Taifa na namba licha ya kuanza mchakato wa kupata kitambulisho hicho.
Imesema wananchi hao taarifa zao zipo katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.