JE, VITAMBULISHO VYA MACHINGA NI LAZIMA AU NI HIYARI?
Kwa tafsiri yangu ya sheria ni kuwa Vitambulisho vya Machinga ni lazima na msingi wa tafsiri yangu ni rejea za sheria zifuatazo;
(1) Kifungu cha 22 A cha Sheria ya Utawala wa Kodi, Sura ya 438 kama ambavyo imefanyiwa mabadiriko na Kifungu...
Wakuu habari zenu,
Katika muendelezo wa kampeni za uchaguzi huu limejitokeza hili suala la vitambulisho vya ujasiriamali,nami nikasema si vibaya nikilileta hapa jukwaani tuweze kujiuliza yafuatayo:-
- Kama kusingekuwa na hivi vitambulisho je hawa wajasiriamali wangelipa tozo za biashara kiasi...
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima.
''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa.
Alisema hayo juzi wakati wa...
Nimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
Tangia mgombea wa CHADEMA mheshimiwa Tundu Lissu aanze kampeni zake nimemsikia mara kwa mara akiwaahidi wananchi kuwa akishika madaraka atafuta vitambulisho vya machinga na akaenda mbali zaidi kwa kusema hii ni Kodi ya kichwa
Sasa Jana wakati akiendelea na kampeni zake Dodoma ameligusia tena...
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima.
Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
Mh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi.
Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa TRA na mgambo wa jiji. Kumbuka wengi wa wenye hivi vitambulisho Ni wenye vibanda vidogo mtaji wao...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mara imekamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura za maruhan katika uchaguzi wa ubunge viti maalum mkoani humo.
Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo wa kutumia vitambulisho vinavyo thibitisha kwamba mtu hawezi kuambukiza wengine C-19, COVI-PASS...
WanaJF, habari zenu wote!!
Hebu tulijadili tena hili. Mwaka huu 2020 limekuja kiaina na kivingine kabisa. Limeniacha na maswali yasiyo na majibu. Labda wenye majibu watatushirikisha...
Ni kuhusu hii kitu iliyopewa jina la "KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI MDOGO". Mimi naona kama ni usanii na...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema mitambo mipya ya uzalishaji wa vitambulisho vya taifa itaanza kufanya kazi hivi karibuni baada ya wataalamu kuwasili nchini.
Mitambo hiyo ya kisasa ambayo inauwezo wa kuzalisha vitambulisho 144,000 kwa siku, ilishafungwa muda mrefu...
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa onyo kwa wajasiliamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali wasije wakalalamika kufuatia hatua zitakazochukuliwa na Serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo kwani watakuwa wamekiuka agizo halali la Serikali.
Mwanri ametoa...
ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI
Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi.
Mohammed ni miongoni mwa...
Kwa kuwa vitambulisho vya mjasiriamalia mdogo vilitolewa na Mh.Rais,na sasa vimekwisha muda wake,je tunasubiri tena Mh.Rais atoe vingine?
Mamlaka zinazohusika tunaomba majibu tunasumbuliwa na TRA.
Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), imefunga mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha vitambulisho 9,000 kwa saa ikiwa na uwezo mkubwa zaidi kulinganisha na mitambo iliyokuwepo awali iliyokuwa inazalisha vitambulisho 200 – 250 kwa saa.
Taarifa hiyo imetolewa na kitengo cha mawasiliano na...
Hello JF,
Sijui kama hii system ipo tayari.
Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System...
Ambayo si tu kwa Government Hospitals..
Bali kuwe na Connectivity...
Both Government and Private hospitals..
Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada...
Then...
Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba.
Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.