vitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Serikali: Watanzania wote wenye sifa watapewa vitambulisho vya Taifa kufikia Disemba 31, 2021

    Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini...
  2. K

    Namba tuliyoambiwa na TCRA kuitumia kuhakiki vitambulisho haisaidii chochote

    TCRA na "106# wanafaidika na nini? Maana ni kama usanii. Hiyo ni namba tuliyoambiwa kuitumia kuhakiki iwapo vitambulisho vyetu vimesajili namba ambazo hatuzitambui. Kwa bahati mbaya kila nikijaribu wala sipati majibu. Sasa nauliza, iwapo TCRA wanatumia nguvu nyingi kuitangaza kupitia clouds...
  3. beth

    Musukuma ataka machinga wasibugudhiwe. Asema Serikali imechuma Bilioni 43 kwenye Vitambulisho

    BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa. Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
  4. kagoshima

    Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  5. J

    Mkoa wa Tabora wapokea vitambulisho vya Mjasiriamali 69,000, mkuu wa mkoa asema vitaisha vyote

    Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali. RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000 vikaisha vyote wakawa wa kwanza kitaifa na mwaka jana walipokea vitambulisho 65,000 vikaisha wakawa tena wa...
  6. K

    Simbachawene: Kupata kitambulisho cha NIDA siyo mwarobaini wa kutokuulizwa uraia wako

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameeleza kuwa kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA), hakuhalalishi mtu kuwa ni Raia wa Tanzania. Pia soma > Mbunge :Wasiojua vema mashairi ya wimbo wa Taifa na Kiswahili wanaambiwa siyo raia wa Tanzania Simbachawene ameeleza hayo leo Mei 4...
  7. Stroke

    Ili kuwasaidia Machinga, ipo haja ya kuvisajili vitambulisho vyao BRELA na kuwapa TIN

    Salaam wakuu, Moja wapo ya Initiatives za awamu ya tano katika kuboresha maisha ya watu wake ilikuwa ni kuwatambua na kuwaruhusu wafanyabiashara wadogo qadogo, jambo hilo lilifanikiwa kwa asilimia kubwa na kuiwezesha serikali kupata mapato yake. Awamu ya sita (6) imeonekana kutokuwa mbali sana...
  8. beth

    Waziri Jafo: Asiyekuwa na kitambulisho au hana kundi asiruhusiwe kufanya biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewapa wiki mbili Viongozi wa Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha kuwa ndani ya wiki mbili kuanzia sasa wawe wamesimika mfumo wa kutambua orodha ya majengo na mabango yaliyopo...
  9. Miss Zomboko

    Serikali kuja na Vitambulisho vipya kwa Machinga vitakavyodumu zaidi ya mwaka

    Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mchakato wa kutoa vitambulisho vipya vya wafanyabiashara wadogo. Mtendaji mkuu huyo wa shughuli za Serikali ameagiza machinga kutosumbuliwa katika biashara zao huku akiwataka wajasiriamali hao kutotumika na wafanyabiashara...
  10. Stroke

    Wanaoning'iniza vitambulisho vya kazi nje ya ofisi zao huwa wanamaanisha nini?

    Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao. Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu. Huwa inakua ni mikwara tu. Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu Ama...
  11. Kinoamiguu

    Kulikoni Wamachinga walipie vitambulisho mara mbili?

    Habari za majukumu wakuu. Nilikuwa nangalia Azam TV asubuhi hii. Mtangazaji alikwenda stand ya Segerea kuwahoji watumishi wa stand ile. Miongoni Mwao ni mfanyabiashara mdogo. Kwa mujibu wa mfanyabiashara yule ni kwamba wao walishalipia VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA tsh 20000 kwa mwaka. Hata...
  12. ommytk

    Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi. Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
  13. W

    Uchaguzi 2020 Kigoma: Viongozi watano wa CHADEMA mbaroni kwa kukutwa na kadi 14 za mpiga kura

    Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi. RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi. ------ Jeshi...
  14. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
  15. Prof Koboko

    Tuwe tu wakweli ndugu zangu, hivi Vitambulisho vya mjasiriamali hatujapigwa?

    Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani? Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana. 1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo? 2. Hizo pesa...
  16. Miss Zomboko

    Tabora: Wahamiaji haramu 32 wakamatwa wakitokea Kigoma na wana vitambulisho vya kupigia kura

    Wahamiaji haramu 32 raia wa Burundi wamekamatwa Mkoani Tabora wakitokea Mkoa wa Kigoma kuelekea Mikoa ya DSM na Mbeya katika upekuzi watatu wamekutwa na vitambulishio vya kupigia kura vya Tanzania na sita wakiwa na barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Kata za Mkoa wa Kigoma na DSM...
  17. Analogia Malenga

    Rukwa: Raia wanauza vitambulisho vya kupiga kura kwa siri

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, Jacob Mtalitinya amewaonya wananchi wanaouza kadi zao za mpigakura kwa siri. Amesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na watakaobainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mtalitinya ambaye pia ni Mkurugenzi Manispaa ya...
  18. S

    Amos Makala ex RC wa Katavi aombwe radhi pia ni kuhusu Vitambulisho vya Mjasiriamali

    Muungwana akivuliwa nguo huwa anachutama. Rais Magufuli tafadhali achutame. Kuna kila sababu ya kuamini kuwa vitambulisho vya ujasiriamali vilikuwa vya lazima. Japo Rais Magufuli amejitokeza hadharani na kusema havikuwa vya lazima. Lakini sote tunakumbuka Amos Makala alitumbuliwa baada ya mkoa...
  19. Crocodiletooth

    CCM inakosea sana pale inaposema vitambulisho vya machinga sio vya lazima

    Chama langu halipaswi kujichanganya juu ya suala hili kamwe, aidha kusema wajawazito kujifungua ni bure au watoto chini ya miaka mitano matibabu ni bure nasem ahivi kwa sababu ndani ya mda mfupi tu uliopita haya yalikuwa ni mambo ambayo yalikuwapo na baadhi yalitiliwa mkazo kweli kweli,kuhusu...
  20. Z

    Hivi ni kweli kwamba vitambulisho havijawasaidia wajasiliamali wa dogo na machinga ?

    Ebu tusema ukweli.hata kama ilionekana ni utaratibu mpya umewekwa ili kundi hili linalojitafutia pesa kwa njia ya kipato kidogo lisisumbuliwe kwa njia Yoyote ile kwa kutambuliwa na mamlaka za serikali .wapinzani mmeligeuza kwamba ilikuwa ni njia ya serikali kupata kodi kutoka kwa watu...
Back
Top Bottom