Unahitaji kitambulisho kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na una namba pekee? basi mamlaka hiyo imeanza kugawa vitambulisho milioni 18.6 kwa Watanzania wenye namba, kazi itakayofanyika kwa siku 14.
Ugawaji wa vitambulisho hivyo, utahusisha wananchi katika mikoa saba ya...