Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:-
Makazi -nyumba ya kuishi
Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine
Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.k
Na wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu...
Salaam wasalaam.
Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..
KUSHINDA
KUFUNGWA
DROO
ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote.
Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine.
Siwezi nikaumia kisa mpira.
Siwezi nikagombana kisa mpira.
Daima sitauwamini mchezo...
kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
Serikali ya Malawi imevifungia vituo vitatu vya Televisheni na sita vya radio kutokana na kutolipa ada ya mwaka ya leseni, ambapo pia zoezi linatarajiwa kuendelea kwa kufungia leseni za vyombo vya habari 30 kufikia mwisho wa 2022.
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari kwa Kusini mwa Afrika...
1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3
2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3
3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3
4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2
5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2
6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2
7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2
Na katika ASFC dhidi...
Achana na ajabu la kesi ya ugaidi kufutwa!
Kuna vitu havitokei bahati mbaya ama kwa mara moja. Kila kitu kina mchakato wake. Mipango na utekelezaji
Kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu imefutwa na washtakiwa wote wameachiwa huru kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.