Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:-
Makazi -nyumba ya kuishi
Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine
Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.k
Na wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu...