vitendawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni wapi ulipingana na methali hii na ukapata tabu sana?

    1. Nkiamka asubuhi nnafanya kazi zangu kwa haraka ili niwahi kazini na ninawahi. 2. Nikiwa nimechelewa kazini au mahala flani huwa naongeza mwendo wa kutembea ili niwahi katika jukumu hilo na nnawahi. 3. Nikitaka kumaliza mtihani kwa wakati lazima nikimbizane na muda ili nimalize maswali yote...
  2. Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

    ABUU KAUTHAR Tukio la kawaida la mkusanyiko wa watu kumkumbuka mpendwa wao limenifumbua akili na kuyajua mambo mengi kuhusu siasa za nchi hii na asili ya uhusiano wa karibu wa baadhi ya watu. Nazungumzia kumbukizi ya miaka 20 tangu kufariki kwa mmoja wa viongozi mahiri wa Chama cha Mapinduzi...
  3. Vitendawili vya uchaguzi(1): Kupinga sera ya kutenga dini na siasa ni kunadi sera ya kuunganisha kofia hizo

    USULI Uchaguzi Mkuu huzalisha vitendawili vingi vinavyopaswa kujibiwa na wapiga kura katika harakati zao za kusimamia ujenzi wa jamii inayowajibika kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kitendawili kimojawapo ni swali lifuatalo: Kati ya Taifa linalotekeleza sera ya kutenganisha kofia ya kisiasa na...
  4. Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Achari yalisha. The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.) Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo. It is customary for a slave to talk, but a free man acts. (Mja is only used in this...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…