viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Suala la Ubunge na udiwani Viti Maalum: CCM Inacheza na Akili za Watanzania, kwa Mbinu za Hila Kila Wakati!

    Utangulizi Kuweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa viti maalum wanawake ni hatua ambayo inazua maswali mengi na hofu miongoni mwa Watanzania. Ukomo huu unatarajiwa kuanza kutumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030, na hivyo kuonekana kama...
  2. milele amina

    Pre GE2025 Viti Maalum CCM: Sera na Utaratibu wa vipindi viwili miaka 10 ni danganya toto kwa Watanganyika na wanachama wa CCM!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii. Mimi nikiwa kiongozi na mwanachama wa CCM, Ninatoa mawazo yangu kwa sababu zifuatazo: 1. Muda wa...
  3. Pdidy

    CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  4. Pdidy

    Pre GE2025 Viti maalum viwe na ukomo, mnabebana miaka 15-25

    Wapendwa Leo nimeona niwaombe radhi kwa nitakaowaudhi. Kama kuna kitu kinanisikitisha kwenye SIASA zetu ni kutokuwa na UKOMO VITI MAALUM Hiki kiti kumekuwa kama mwenye nacho apewe maana kuna AMBAO wako kule milele kama wamezaliwa na bunge KUNA AMBAO wamestaafu lakini ukiambiwa alikuwa mbunge...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  6. The Watchman

    Pre GE2025 Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, azindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa

    Wakuu Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira. Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
  7. Mi mi

    Pre GE2025 Tusilalamike kuna mfumo dume katika siasa, Vyeo vya kijinsia naomba vifutwe

    Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum. Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum tuache wenye uwezo wa siasa wazifanye na wawanie nafasi na washinde na sio jinsia kutumika kama...
  8. T

    Pre GE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa hakuna kiongozi atakayeihama CCM na kuifanya itetereke hata awe anapendwa vipi

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  9. Mindyou

    Pre GE2025 Mbunge wa Covid 19 Jessica Kishoa: Wanawake wote wa nchi hii tunamuunga mkono Rais. Vyombo vya ulinzi visicheke na yeyote atakayevuruga amani

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani. Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi...
  10. M

    Pre GE2025 Wabunge viti Maalum waliohudumu kwa miaka 10 wapishe wengine kuchochea mabadiliko chanya, wasiwe ving'ang'a

    Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wanawake wengi wanaokipigania chama wanapata fursa ya uwakilishi...
  11. G

    Ukisoma waraka wa Chacha Wangwe (rip), Mbowe alighushi majina ya viti maalum uchaguzi wa 2005. Huu ni ushahidi kuwa kwenye COVID-19 kuna mkono wake

    Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa". Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo: UTEUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM ...."Naamini ukweli wa suala hili hauna mjadala. Kwamba Mhe. MBOWE na wafuasi wake...
  12. M

    Pre GE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

    Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao wa Clubhouse kuwa Kuna watu ndani ya sekretariat ya CHADEMA walifanya uhuni na kughushi saini ya...
  13. mwanamwana

    Pre GE2025 Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote

    Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu wale wale miaka yote". Pia soma - Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Katibu wa CHADEMA Rukwa: CCM walipita bila kupingwa 2019 kama Viti maalum

    Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  15. M

    Pre GE2025 Zanzibar: Wanawake tunatakiwa kuingia kwenye majimbo badala ya kuelekeza nguvu kwenye Viti Maalum

    WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za Wanawake Viti Maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo inawafanya kudumaa kuwa...
  16. Thabit Madai

    Pre GE2025 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  17. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Unadhani "Viti Maalum" vimefanikisha usawa wa kijinsia vya kutosha au kunahitajika marekebisho zaidi?

    Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa. Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri mbalimbali nchini Tanzania, ambako kihistoria, wanawake wamekuwa wakipata nafasi ndogo katika maamuzi ya...
  18. M24 Headquarters-Kigali

    Wabunge 19 viti maalum CHADEMA wanasubiri kulipwa 400m pensheni?

    1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7. 2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0...
  19. Pfizer

    Pre GE2025 Dkt. Ananilea Nkya: Nafasi za ubunge wa Viti Maalum zifutwe kwa sababu zimeanza kutumika isivyostahili. Zilianzishwa ziwe za Mpito sio za kudumu

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya amesema nafasi za ubunge wa Viti Maalum zilianzishwa kwa kipindi cha mpito kutokana na uwakilishi mdogo wa wanawake. Dkt Nkya amesema hali imebadilika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 (miaka 42), wanawake wametumia...
  20. Selemani Sele

    Pre GE2025 Viti Maalum wanamaliza hela za wananchi bila sababu

    Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla. Kuna nchi nyingi za dunia...
Back
Top Bottom