Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.
Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
MADAI
Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
Wakili Edson Kilatu anayesimamia suala la Halima Mdee na wabunge wenzake 18 amenukuliwa akisema:
“Baada ya kesi ya wateja wangu Halima Mdee na wenzake kutupwa, tulirudi kufanya marekebisho, alfajiri ya jana (Juni 23, 2022) tukawasilisha nyaraka Mahakamani kwa njia ya mtandao, hivyo Spika...
Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko.
Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa...
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa.
Chanzo: Darmpya
Ningependa kukishauri chama Cha CHADEMA kiweke mfumo mzuri wa viti maalum ulio wazi Ili kuepuka Yale ya Covid 19 yasijirudie. Tujifunze kutokana na makosa, la sivyo huko mbeleni litajirudia Tena. Hili la kusema wanawake waliogombea majimboni na kushindwa watapewa nafasi ya mbele kwenye Viti...
Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali.
Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti maalumu bungeni.
Pia CHADEMA ipo tayari kupokea ruzuku, ikumbukwe kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata...
MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE
Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha.
Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...
Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'..
Wakati wa...
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.
Walitofautiana...
Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi.
Ushauri wangu kaeni kimya maadam mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi. Biblia imeandika "HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao.
Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM
CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.