Ningependa kukishauri chama Cha CHADEMA kiweke mfumo mzuri wa viti maalum ulio wazi Ili kuepuka Yale ya Covid 19 yasijirudie. Tujifunze kutokana na makosa, la sivyo huko mbeleni litajirudia Tena. Hili la kusema wanawake waliogombea majimboni na kushindwa watapewa nafasi ya mbele kwenye Viti...