NAWAPA SIRI NYINGINE; VITU VYA BURE VINA LAANA. UKITAKA KUPATA SHARTI UTOE KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukafanikiwa kwa kitu ulichopewa bure au ulichokipata bure bila kukitolea jasho au sadaka au kitu chochote. Hii ni siri ambayo wengi hawaijui lakini walifundishwa wakiwa...