vitunguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mapato yanayokusanywa Soko la Vitunguu Singida yanaenda wapi? Hali ni mbaya, uchafu umezagaa

    Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo. Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine yakiwemo Kenya, Uganda Malawi kuja kufanyabiashara kwenye soko hili. Jambo la kusikitisha ni kuwa...
  2. N

    Bei ya Vitunguu Singida

    Samahani aisee wadau kwa yeyote anae jua bei ya vitunguu SINGIDA anijuze ...nahitaji gunia kama ishirini namba angu 0710686877
  3. ndege JOHN

    Wakuu ni kweli kisu ukikatia vitunguu kinakuwa butu au tunashikana tu masikio

    Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
  4. Pdidy

    Unajua umuhimu wa vitunguu maji nyumbani kwako?

    C2 INAWAHUSU Vidokezo vya Nyumbani na Jikoni 👉Kuchoma pete ya kitunguu kutafukuza nzi jikoni Kwa kitani cha kitanda na mito kunukia vizuri weka poda ya mtoto inasaidia. 👉Unapochuma mboga bustanini weka kwenye maji yenye chumvi kwa dakika 5 konokono, vidukari, minyoo n.k wataanguka, Wakati wa...
  5. chibe dayo

    Msaada bei ya vitunguu

    Habari wana jamvi Naomba kuuliza bei ya vitunguu kutoka shambani napatikana mkoa wa Arusha. Ahsante
  6. chama mpangala

    Jinsi vitunguu Saumu vinavyonufaisha Afya ya wanaume

    1. Kuimarisha Afya ya Moyo Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu. 2. Kuongeza Viwango vya Testosterone: Utafiti unaonyesha kwamba kula vitunguu saumu kunaweza kusaidia kuongeza...
  7. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  8. P

    Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  9. N

    Kilimo cha vitunguu maji

    Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa...
  10. K

    Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

    Hi jamani, Hivi kwa Sasa bei za nyanya dar ,,Arusha,,moro ..Mwanza na Dodoma ni sh ngapi Kwa create? Na je gunia la vitunguu ni sh ngapi?
  11. Nyani Ngabu

    Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  12. GoldDhahabu

    Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  13. Mwachiluwi

    Acheni kutumia vitunguu saumu kama dawa ya kukata harufu mdomoni pigeni mswaki

    Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana. Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi...
  14. Vumbi la congo

    Msaada Maji ya vitunguu swaumu na mafua

    Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana. Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya, umri wake bado mdogo hata wiki hana, sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhidi ya mafua...
  15. BARD AI

    Kilo moja ya Vitunguu yafikia Tsh. 30,221 Ufilipino

    Ufilipino inatazamia kuagiza vitunguu kutoka nje kwa ajili ya kuongeza usambazaji na kupunguza bei ya juu ambayo imechangia mfumuko wa bei wa miaka 14. Bei za reja reja za vitunguu vyekundu zimepanda hadi kufikia Tsh. 29,654 kwa kilo katika siku za hivi karibuni katika masoko ya Manila, bei...
  16. C

    Waziri wa Kilimo tupe msimamo wa serikali juu ya lumbesa katika zao la vitunguu

    Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu. Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
  17. C

    Offer: Vitunguu Saumu ( Fresh Garlic)

    Fresh Garlic Offer! 2,000 Tzs / Kg ($0.9/Kg) From Iringa - Tanzania MOQ: 100 Kgs Call: + 255 658 700 510 Grab this Offer Now!
  18. M

    Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  19. C

    Elimu juu ya Biashara ya Vitunguu

    Habari za asubuhi ndugu zangu. Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni. Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia...
  20. SIR.NOM

    Vitunguu vinauzwa shilingi ngapi kwa sasa kwa eneo ulilopo?

    Habari wadau. Tujuzane mkoa ulipo bei ya Kitunguu maji ni sh.ngapi kwa sasa?
Back
Top Bottom