vitunguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bei ya Vitunguu Maji Singida na Manyara ipo chini, inatuumiza Wakulima

    Wakulima wa vitunguu maji tuna changamoto, bei ya vitunguu iko chini sana Mkoa wa Singida na Manyara. Wakulima tunapata hasara sababu ya pembejeo za kilimo zipo juu lakini wanunuzi wanajipangia bei ndogo na pia wanaweka ujazo ambao serikali imekataza. Ombi letu waruhusu wanunuzi kutoka nje ya...
  2. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Hii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini? Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea? Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Je umejiandaaje na mvua za El Nino? Weka ndani vitunguu First Class, kilo 3 ½ kwa sh. 10,000/- utaletewa popote ulipo Dar

    Pata vitunguu vizuri, vikubwa, vimekomaa na kukauka vizuri sana. Kilo tatu na nusu utapata kwa sh. 10,000/- na utaletewa bure, popote ulipo Dar. Piga simu 0657 992 994 Au 0712 177 287
  4. E

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Vitunguu Lumuma

    Salaam Kama unaitaji kununua kitunguu, nenda Lumuma, hata upeleke semi 10 zitajaa kwa wakati mmoja. Lumuma ni kijiji kinachopatikana wilaya ya Kilosa kwa upande wa Morogoro na Mpwapwa upande wa Dodoma, yaani kipo mpakani. Sasa hapa kijijini kuna bonde kubwa lenye acres za kutosha, linatumika...
  5. HONOURABLE PETER

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu

    Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili. Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Unapoosha vitunguu kwa maji au Chumvi kwa ajili ya Kachumbari unaondoa Virutubisho

    Habari wakuu, Kuna jambo limekuwa likinipa mtatizo sana, wakati nakuwa nilikuwa nikipenda sana kusaidia jikoni kwenye mapishi hasa siku ya ubwabwa Maharage, huku nikimuangalia Bi mkubwa akiandaa kachumbari ya kunogeshea ubwaubwa. Inshort hadi sasa napenda sana kachumbari Niliona Bi Mkubwa...
  7. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kero soko kuu la vitunguu la kimataifa singida

    1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake 2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
  8. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa Wa Mtwara hawalimi Vitunguu na Maharage?

    Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo. Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Vitunguu

    Nina swali kutoka dadangu in Kenya, hivi mumeanza kuvuna.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapato yanayokusanywa Soko la Vitunguu Singida yanaenda wapi? Hali ni mbaya, uchafu umezagaa

    Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo. Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine yakiwemo Kenya, Uganda Malawi kuja kufanyabiashara kwenye soko hili. Jambo la kusikitisha ni kuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya Vitunguu Singida

    Samahani aisee wadau kwa yeyote anae jua bei ya vitunguu SINGIDA anijuze ...nahitaji gunia kama ishirini namba angu 0710686877
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kweli kisu ukikatia vitunguu kinakuwa butu au tunashikana tu masikio

    Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unajua umuhimu wa vitunguu maji nyumbani kwako?

    C2 INAWAHUSU Vidokezo vya Nyumbani na Jikoni 👉Kuchoma pete ya kitunguu kutafukuza nzi jikoni Kwa kitani cha kitanda na mito kunukia vizuri weka poda ya mtoto inasaidia. 👉Unapochuma mboga bustanini weka kwenye maji yenye chumvi kwa dakika 5 konokono, vidukari, minyoo n.k wataanguka, Wakati wa...
  14. chibe dayo

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya vitunguu

    Habari wana jamvi Naomba kuuliza bei ya vitunguu kutoka shambani napatikana mkoa wa Arusha. Ahsante
  15. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Jinsi vitunguu Saumu vinavyonufaisha Afya ya wanaume

    1. Kuimarisha Afya ya Moyo Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu. 2. Kuongeza Viwango vya Testosterone: Utafiti unaonyesha kwamba kula vitunguu saumu kunaweza kusaidia kuongeza...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu maji

    Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

    Hi jamani, Hivi kwa Sasa bei za nyanya dar ,,Arusha,,moro ..Mwanza na Dodoma ni sh ngapi Kwa create? Na je gunia la vitunguu ni sh ngapi?
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
Back
Top Bottom