Kuhalisia watoto wadogo wa miaka miwili hadi minne huwa wanapelekwa vituo vya kulelea watoto ( Day care ) ambavyo viko chini ya wizara Afya na ustawi wa jamii maalum kwajili ya wazazi ambao wako busy na kazi.
Kazi ya day care ni kufacilate watoto kubembea, kuimba, kupumzika, na kujifunza vitu...