Kuhalisia watoto wadogo wa miaka miwili hadi minne huwa wanapelekwa vituo vya kulelea watoto ( Day care ) ambavyo viko chini ya wizara Afya na ustawi wa jamii maalum kwajili ya wazazi ambao wako busy na kazi.
Kazi ya day care ni kufacilate watoto kubembea, kuimba, kupumzika, na kujifunza vitu mbalimbali ikiwemo kujua kuandika kwa presha ndogo sana na muda mchache.
ila kwa kuwa wazazi wapo brainwashed kuamini mtoto aanze mapema kusoma hii ndio umesababisha Day care kubadilika kuwa kama shule zaidi ili zisipoteze Wanafunzi,
Matokeo yake hata day care wameanza kuweka kando vitu vingi kwajili ya mtoto na kuweka nguvu kubwa kwenye mategemeo ya wazazi kwa kutumia muda mwingi ufundisha watoto darasani.
Watoto wanarudi nyumbani jioni wakiwa wamechoka sana kwa sababu akili zao ndogo zimebanwa mno na shughuli zisizolingana na umri wao.
Mzazi anachojali ni kuona daftari lenye mistari miwili ya herufi na tiki nyekundu pembeni anajisifia “Mtoto wangu bright sana,” bila hata kujali kama mtoto alipumzika, kaangalia katuni, alicheza, kaimba, kala nini, kajifunza nini kuhusu strangers au hata kupata nafasi ya kuwa mtoto.