Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua.
Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
Ukipita njia ya Vingunguti, Tabata, Tandale na maeneo mengine kumekuepo na ongezeko kubwa sanaa la vituo vya mafuta.
Je, tathimini imefanyika vya kutosha kabla ya kutoa vibali?
Je, tunasubiri maafa yatokee ndio tuunde tume?
MWONGOZO WA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VYA MAFUTA KWA GHARAMA NAFUU:
Usanifu na Ujenzi wa Kituo, Usafirishaji wa Mafuta, Jinsi ya Kuongeza Mauzo na Faida
Katika kitabu hiki kuna sura 15 ambapo utajifunza mambo yafuatayo:
Sura ya 1: Biashara ya Vituo vya Mafuta
Sura ya 2: Uhitaji wa...
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?
Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Nilipofika kwenye kituo cha mafuta cha maeneo ya Mbezi Beach ya Chini ili kujaza gari langu, niliona mabango mawili yaliyonivuruga kidogo. Moja lilikuwa limeandikwa "Lipa kwa M-Pesa," likinionyesha kwamba naweza kufanya malipo kwa njia ya simu, jambo ambalo niliona ni rahisi na haraka.
Lakini...
Miezi sita iliyopita hapa jukwaani kulikuwepo na mijadala kuhusu ujenzi holela wa vituo vya mafuta hali ambayo inadaiwa kuhatarisha usalama wa Wananchi kutokana na vituo hivyo kujengwa karibu na makazi ya watu.
Mfano wa Kituo cha mafuta kilichotajwa ni kituo cha Lake Oil kilichopo Kawe...
Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika
Unaambiwa zima simu yako tafadhali
Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa.
Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
Jenerali Ulimwengu amefanya tafakuri kuhusu nishati ya mafuta na gesi katika kufanikisha usafiri nchini. Kwa tathmini yake amebaini wamiliki wa vituo vya mafuta wapo mstari wa mbele kukwamisha matumizi ya gesi nchni.
Gesi ni rahisi sana lakini pamoja na urahisi wa bei idadi ya vituo vya mafuta...
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida.
Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia.
Pili napenda kuweka...
Wakuu kwema?
Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.
Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi?
Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii?
Nakumbuka...
Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini.
Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu?
Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana!
Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
Habari Wananchi
Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!
Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!
Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:
Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake,
Anapotafta eneo...
Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa...
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika!
Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta!
Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta!
Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.