Habari za Muda huu Wakuu!
Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee.
Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
Mfanyakazi wa Lake oil akimgudumia mteja ambapo kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia mauzo bila kuwepo vituoni.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya huduma za malipo ya Pesapal imeanzisha huduma mpya ya kusaidia kusimamia...
Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline...
Bila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena...
Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato.
Chunguzen sitovitaja vituo husika kwani mnalipwa mishahara kwa Kazi hiyo. Sasa basi kama kuna baadhi yenu wana colude na wamiliki wa...
Tujiulize maswali haya
Je mipango miji inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu?
Je sera ya mamlaka ya viwango na ubora inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu?
Vipi wizara ya miundombinu?
Vipi wizara ya mazingira?
Jeshi la zimamoto je nalo haliwezi...
Wakuu, pamoja na kupanda bei ya mafuta ya magari lakini kwa Tabora ni shida kama hupo mjini kati.
Mjini kati pana vituo kama vitano hivi karibu karibu hivo kukufanya kama unaishi mfano Ipuli, kilometa takriban 5 kwenda mjini, kupata shida ya kuongeza mafuta mjini.
Nashauri, mie uwezo sina...
Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana.
Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.