Niendee moja kwa moja kwenye mada husika!
Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta!
Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta!
Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi...