vituo vya ununuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeongeza vituo vya ununuzi wa madini kutoka 102 mwaka 2023/2024 hadi kufikia 109 mwaka 2024/2025

    Serikali imeongeza vituo vya ununuzi wa madini kutoka 102 mwaka 2023/2024 hadi kufikia 109 mwaka 2024/2025. Kupitia masoko 43 na vituo vya ununuzi 109 kulifanyika biashara ya madini yenye thamani ya shilingi 1.93 trilioni kwa mwaka 2023/2024 na shilingi 2.82 trilioni kwa mwaka 2024/2025...
Back
Top Bottom