vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  2. Kwa wanaoagiza mchanga au kokoto tunaibiwa aisee kumbe uwa wanapunguza njiani kuna vituo

    Yaaani leo kuna kitu nimejifunza kwa wale wajengaji hii sijui kama mnaijua aya malori liwe la mchanga au kokoto yana utaratibu wana vituo njiani. Wanapunguza mzigo ule ambao wewe uliagiza na ushalipia yaaani wanaoaki wanatoa turubai wanapunguza mzigo wa kutosha wakija site kwako wanafikia...
  3. Bajeti Wizara ya Nishati kuanzisha Ujenzi wa Vituo Vidogo vya Kusambaza Bidhaa za Petroli Vijijini

    Watanzania wengi vijijini wanalipa fedha nyingi zaidi kununua nishati ya mafuta, ambayo pia sio safi na salama. Kutibu kadhia hiyo, Serikali imebuni mradi wa uwezeshaji na uendelezaji wa vituo vidogo vya bidhaa za petroli kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana vituo vya mafuta kwa njia ya mkopo...
  4. Vituo vya Mafuta havijashusha Bei

    Kuna shida gani? Maana vituo vya Mafuta vunauza Bei ya Zamani. Kuna mgomo?
  5. Zelensky: Urusi imeshambulia hospitali na vituo vya matibabu

    Imeelezwa kuwa uamuzi wa Urusi kuivamia Ukraine umeharibu hospitali nyingi na vituo vya matibabu hali iliyofanya madaktari kuwa na wakati mgumu katika kufanua huduma zao Hayo yamesemwa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy ambaye amesisitiza kuwa kuna vituo 400 vimeharibiwa na kuna changamoto...
  6. Q

    Filamu ya The Royal Tour kuonyeshwa vituo vyote vya TV Mei 8

    "Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
  7. U

    Orodha ya Mambo ambayo yanamtambulisha Muafrika kwa urahisi!

    Wadau nimewawekea orodha happy chini nawewe uwe huru kuongezea Tafadhali lugha ya staha itumike kujadili uzi huu maalumu Karibuni Vyombo vya udongo Kukaa kabatini na kutumika pale tu anapokuja mgeni Kuoigia mswaki nje ya nyumba hasa nyuma Kujisaidia haja ndogo kwenye ndoo au kopo mida ya...
  8. U

    Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

    Wadau wa JF, Hamjamboni nyote... Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika. Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k Tazama orodha: 1. Makumbusho...
  9. Serikali kuanza kukagua ubora wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya, wanaanza na Muhimbili Hospital

    "Wizara ya Afya kuanza kukagua ubora katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini," hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Profesa, Abel Makubi katika mkutano wa viongozi wa vyama vya kitaaluma vya Afya uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Prof. Makubi amesema kuelekea uboreshaji wa...
  10. M

    Chonde chonde wamiliki wa vituo vya redio na luninga: Tuondolerni hao wachambuzi uchwara wa soka!

    Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara. Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
  11. Waziri wa Mambo ya Ndani: Tanzania kuna upunguzu wa Vituo vya Polisi 470

    Taarifa ya upungufu wa vituo vya polisi Nchini Tanzania imewaibua wadau wa haki za binadamu, wakidai kuwa chanzo ni kukosekana kwa haki. Jana Aprili 5, 2022, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni aliwasilisha bungeni taarifa ya upungufu wa vituo vya Polisi vya daraja B...
  12. F

    Vituo vya watu wenye mahitaji maalum vinahitajika Mwanza

    Wakuu Salaam Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…