vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  2. RRONDO

    Kwanini risiti hazisumbui kwenye vituo hivi vya mafuta?

    Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu. Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu. Shida ni...
  3. L

    Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

    Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.
  4. Mwizukulu mgikuru

    Vituo vingi vya kulelea watoto yatima vimekuwa ni sehemu ya upigaji

    Habari ndugu wana jamii forums wenzangu, Siku ya leo naomba niwasilishe hili tatizo ambalo nimeliona, nimekuwa ni mtu wa kujitolea kwa kile kidogo Mungu anachonibariki sehemu mbalimbali na kwa watu mbali mbali wenye uhitaji hapa nchini. Changamoto niliyoikuta au kuiona misaada inayotolewa...
  5. notyfeky

    Changamoto mbalimbali kwa watumishi wanaohama vituo vya kazi na utatuzi wake

    Habari za muda huu ndugu watumishi wa Umma. Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi. Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi...
  6. vibertz

    Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  7. Mrengwa wa kulia

    Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

    Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo. taarifa ni kwamba. Vyanzo vingi vya Urusi vimeripoti kuwa Ndege mbili za kimkakati aina ya TU-95 zimearibiwa...
  8. Eleminator

    UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  9. BARD AI

    Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
  10. Chizi Maarifa

    Kumea kwa vituo vingi vya mafuta ni kwa ajili ya kutakatisha fedha zinazotokana na dawa za kulevya na ufisadi wa fedha za umma

    1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali. 2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona...
  11. Tman Clever

    Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  12. MTV MBONGO

    Vijue vituo vya Televisheni vya kimataifa vinavyoongoza kwa watazamaji wengi duniani

    1. CNN (US) 2. BBC (UK) 3. DW (GERMANY) 4. ALJAZEERA (QATAR) 5. RT (RUSSIA) 6. SKY NEWS (UK) 7. VOA (USA)
  13. BARD AI

    Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  14. BARD AI

    Wabadhirifu 3 tu kati ya 585 walifukuzwa kazi kwa ripoti ya CAG, 384 wakihamishwa vituo

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
  15. J

    NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    HABARI NDUGU ZANGU WANA JF ...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem SIMU: 0623450048/ 0746443601
  16. L

    Taasisi ya China-Afrika kufungua vituo vitano Afrika

    Gianna Amani Taasisi ya China-Africa (CAI) ambayo inajihusisha zaidi na utafiti wa masuala yanayohusu uhusiano kati ya China na Afrika imesema inatarajia kufungua vituo vitano barani Afrika ili kusogeza huduma karibu kwa Waafrika. Akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika...
  17. BARD AI

    DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022. Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
  18. mwanamwana

    DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

    Kauli Mbiu: Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka
  19. Wand

    KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  20. Replica

    Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

    Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje? Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu tukamuulize nani? Vituo vimeanza kujengwa mpaka vimemalizika na vinafanya kazi hadi leo hajui kwanini...
Back
Top Bottom