Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa.
Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Nyasa, Stella Man-yanya (CCM) bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...