Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti.
Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...