Vitabu vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana.
Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Inaaminika wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na...
WANAWAKE NI VIUMBE WANAOELEWEKA SANA SEMA SISI NDIO HATUTAKI KUWAELEWA!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
"Mwanamke hajui nini anataka"
"Wanawake hawaeleweki"
"Huwezi kuwaelewa Wanawake" na kauli zingine kama hizo ni kauli za kizamani zilizolenga kuwahukumu Wanawake na kuwafanya wakosaji...
Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana.
Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi.
Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
Habari wanaJF?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
Habari wanajamvi,
Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha.
Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao.
Nikupe...
Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili kuoata kiumbe bora kitakacho endana na vizuri na mazingira ya dunia, hadithi NZURI zaidi inapatikana...
Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa hawakuonekana kama wanaelewa chochote kuhusu hatima zao na hata mazingira hayawakuwaunga mkono...
KUMBUKA; VIUMBE HATARI HUPENDA KUJIFICHA.
Anaandika, Robert Heriel.
Moja ya sifa kuu ya kiumbe hatari ni kupendelea kujificha, kukaa mafichoni, kukaa chobingo.
Hawapendi kujianika Anika hovyo, kujidhihirisha hovyo.
Kwanza weka akilini kuwa Kiumbe hatari hujijua kuwa yeye ni hatari, tena...
Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa.
Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo
Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
Kama jinsi ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza.
We sema tu, mwaga yoote, zungumza ili mradi machungu yaishe, sema, paza sauti yako, payuka uwezavyo, lia sana na sana, itapendeza kama utakuwa ndani ya uzi huu huku ukiwa chumbani kwako, umejifungia kabisa, huku unatiririsha chozi taratibu...
DIBAJI
Shughuli za binadamu zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kulingana na mahitaji ya mwanadamu kuongezeka , hali hiyo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha ama kupelekea uharibifu juu ya ardhi na kusababisha uharibifu wa mazingira na kuhatarisha baadhi ya jamii ya mimea kama...
Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale.
Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)!
Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni:
•JASIRI
• MKOMAVU KI UONGOZI
•HANA PAPARA
• ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
Wadau wote hamjamboni?
Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe
Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"
Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako
Niwatakie Sabato njema
Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.
Mfano wa picha katika viumbe
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.
Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.