viumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliens, viumbe wanaoaminika kuwazidi binadamu akili

    Vitabu vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Inaaminika wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na...
  2. Wanawake ni viumbe wanaoeleweka sana sema Sisi ndio hatutaki kuwaelewa

    WANAWAKE NI VIUMBE WANAOELEWEKA SANA SEMA SISI NDIO HATUTAKI KUWAELEWA! Anaandika Robert Heriel Kuhani. "Mwanamke hajui nini anataka" "Wanawake hawaeleweki" "Huwezi kuwaelewa Wanawake" na kauli zingine kama hizo ni kauli za kizamani zilizolenga kuwahukumu Wanawake na kuwafanya wakosaji...
  3. Viumbe vingine vinaona binadamu ni kituko

    Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana. Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi. Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
  4. Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

    Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
  5. Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
  6. Niwafanye nini viumbe hawa wameharibu suti yangu

    Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
  7. Nawahurumia sana viumbe hai ninapowakuta kwenye matatizo

    Habari wanajamvi, Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha. Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao. Nikupe...
  8. Jamii ya viumbe toka Nibiru waliokuja duniani

    Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili kuoata kiumbe bora kitakacho endana na vizuri na mazingira ya dunia, hadithi NZURI zaidi inapatikana...
  9. SoC02 Almasi katikati ya miiba

    Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
  10. K

    SoC02 Wanaume: Viumbe walio hatarini kutoweka

    Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa hawakuonekana kama wanaelewa chochote kuhusu hatima zao na hata mazingira hayawakuwaunga mkono...
  11. Kumbuka; Viumbe hatari hupenda kujificha

    KUMBUKA; VIUMBE HATARI HUPENDA KUJIFICHA. Anaandika, Robert Heriel. Moja ya sifa kuu ya kiumbe hatari ni kupendelea kujificha, kukaa mafichoni, kukaa chobingo. Hawapendi kujianika Anika hovyo, kujidhihirisha hovyo. Kwanza weka akilini kuwa Kiumbe hatari hujijua kuwa yeye ni hatari, tena...
  12. Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

    Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa. Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
  13. Uzi maalumu wa wanaume kupozea machungu yote tunayoyapata kutoka kwa viumbe wasio na shukurani

    Kama jinsi ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza. We sema tu, mwaga yoote, zungumza ili mradi machungu yaishe, sema, paza sauti yako, payuka uwezavyo, lia sana na sana, itapendeza kama utakuwa ndani ya uzi huu huku ukiwa chumbani kwako, umejifungia kabisa, huku unatiririsha chozi taratibu...
  14. SoC02 Matumizi ya teknolojia ya viumbe hai wadogo (Bacteria na Archaea) katika uchimbaji madini katika kutunza mazingira na viumbe hai

    DIBAJI Shughuli za binadamu zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kulingana na mahitaji ya mwanadamu kuongezeka , hali hiyo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha ama kupelekea uharibifu juu ya ardhi na kusababisha uharibifu wa mazingira na kuhatarisha baadhi ya jamii ya mimea kama...
  15. L

    Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

    Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale. Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
  16. Tusipomsemea Rais Samia Watanzania; dunia, miti, wanyama na viumbe vingine vitanena kwa ajili yake

    WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)! Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni: •JASIRI • MKOMAVU KI UONGOZI •HANA PAPARA • ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
  17. U

    Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

    Wadau wote hamjamboni? Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story" Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako Niwatakie Sabato njema
  18. Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana.

    Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope." Soma Ezekieli Sura ya 1.
  19. Nini sababu ya viumbe vingi vya kiume vinavutia kimuonekano kuliko vya kike?

    Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu. Mfano wa picha katika viumbe
  20. T

    Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

    Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko. Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume. Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…