vivuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. emmarki

    AZAM MARINE mlete vivuko vyenu Mafia

    Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya. Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Ulega Aitaka TEMESA Kuja na Tathmini Chanya Ujenzi Vivuko Vipya

    ULEGA AITAKA TEMESA KUJA NA TATHMINI CHANYA UJENZI VIVUKO VIPYA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana kwa jamii kutokana na ujenzi wa vivuko vipya sita vinavyoendelea kujengwa na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ulega Akagua Vivuko, Ataka Maboresho ya Huduma Yazingatiwe

    ULEGA AKAGUA VIVUKO, ATAKA MABORESHO YA HUDUMA YAZINGATIWE Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri eneo la Kigamboni na Magogoni na kuagiza kukamilisha taratibu zote za uendeshaji wa...
  4. Mparee2

    Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

    Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote...
  5. Roving Journalist

    Bashungwa: Kuanzia Januari 2025, Vivuko vitakuwa vinasubiria abiria, Sea Tax kuongezwa Dar

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo kufikia mwezi Januari 2025...
  6. Mkalukungone mwamba

     Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni

    Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni. Hata hivyo, mmoja wa wakazi wa Kigamboni Bw. Ballu Abdul amemueleza Waziri Bashungwa...
  7. Roving Journalist

    Serikali kuunda timu maalum kusimamia urejeshaji huduma za usafiri wa vivuko Mafia - Pwani

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
  8. Chachu Ombara

    Waziri Bashungwa apiga marufuku vivuko kuzidisha abiria na mizigo

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) pamoja na vyombo vingine vya usafiri ndani ya maji kuzingatia sheria na miongozo mbalimbali ya usalama kwenye vivuko kwa kuhakikisha hawazidishi abiria wala mizigo ili kulinda usalama wa abiria pamoja na mali zao...
  9. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Miundombinu yashauri ujenzi wa Madaraja maeneo yenye usafiri wa vivuko

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo...
  10. The useful idiot

    KERO Kero kwenye vivuko, Dar es Salaam

    Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani! Tulizoea huduma ni Masaa 24 ila kwa sasa huduma inaishia saa nane usiku!! Leo kwenye kuscan kadi upande...
  11. Cute Wife

    Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini

    Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko cha Azam kinavyolipwa baada vivuko hivi kuwa vichomi, leo anakuja kutuambia ni chuki binafsi? --...
  12. Pfizer

    Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024

    UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024 Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma...
  13. Erythrocyte

    Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

    Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi. Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
  14. T

    Changamoto ya Vivuko Kigamboni kwa sasa kunafanya kazi kivuko kimoja tu

    Wasaaaalamu Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
  15. Crocodiletooth

    Taasisi ya usimamizi vivuko vya miguu liangalieni hili

    Sina mengi, Kivuko cha buguruni chama binafsi sikioni kama Kiko salama, naomba mamlaka husika ikitupie jicho, baadhi ya mabati ambayo ndiyo tunapita juu yake yameanza kuacha space au kuachana. Ni hayo tu. Wasalaamu.
  16. JanguKamaJangu

    Dar: Wananchi wa Mbezi waandamana kushinikiza kuwekewa vivuko vya usalama barabarani, DC aingilia kati

    Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea kivuko chenye usalama zaidi katika eneo hilo, kutokana na ajali za mara kwa mara, Mkuu wa Wilaya ya...
  17. T

    Hali tete vivuko vya Kigamboni

    Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea. Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
  18. M

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii. 1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
  19. Replica

    TEMESA wakajifunze Mombasa kuendesha vivuko, pamoja na watu kupita bure viko imara muda wote

    Kisiwa cha Mombasa nchini Kenya kimeunganishwa na njia tatu za kuingia na kutoka kwenye mji huo mbili zikiwa madaraja ya barabara. Upande mmoja wa kuingia kisiwa humo(Likoni) ni kutumia feri kama zile zetu za Kigamboni. Sehemu hii ilishindikana kuweka daraja kutokana na kuwa njia kuu kwa meli...
  20. A

    Vivuko vya Watembea kwa Miguu

    Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu. Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita...
Back
Top Bottom