Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni.
Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost.
Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea.
MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa.
Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya...
Mhe. Dorothy George
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Kwa kushirikisha na TARURA -Temeke 25/01/2022, wameanza Operesheni ya kuvitambua Vivuko Vya watembea Kwa Miguu vivilivyoko ndani ya Maeneo ya Wakazi wa Jimbo la Temeke Kwa ajili ya kuandaa Mpango Maalumu wa kujenga Vivuko Vya kudumu ili kupunguza...
Mimi nashauri badala ya kuongeza vibao ya 50kms/ kwenye barabara kuu
Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu
Mfano: Barabara ya Arusha kwenda Dar; kutokea Arusha hadi Same miji inaunganika kwa kasi sana, sasa bila kuanza kufikiria suluhisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.