vivutio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askari Polisi Wanawake wahamasisha Wananchi kutembelea Vivutio vya Utalii

    Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
  2. Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  3. songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
  4. Filamu za Kimkakati Kuandaliwa Kuelezea Utamaduni na Vivutio vya Tanzania

    FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati madhubuti wa kuandaa Filamu tano ambazo zitaelezea utamaduni, vivutio vya ndani, historia na...
  5. B

    Wasanii walia na tozo wanazotoa ku-shoot kwenye vivutio vya taifa

    Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
  6. Kama usafi wa vyoo umetushinda, kwanini tusivigeuze vivutio vya kitalii?

    Tembelea vyoo vya uma vya hapa Tanzania ujionee maajabu! Vingi ni vichafu hakuna mfano. ~ vyoo vya vituo vya mabasi ~ vyoo vya sokoni ~ mpaka na vyoo vya baadhi ya mahospitali navyo vipo kwenye huo mkumbo. Labda Watanzania wana utamaduni wa kuvipenda vyoo vichafu? Mbona sivyo ilivyo kwa baadhi...
  7. V

    SoC04 Namna ya kuboresha sekta ya Utalii nchini Tanzania Ili kuongeza vivutio kwa watalii wengi ndani na nje ya nchi

    Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa wa utalii kutokana na aina mbalimbali za wanyamapori, mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni. hata hivyo, pamoja na faida hizo, nchi inakabiliwa na changamoto katika kuvutia idadi kubwa ya watalii ikilinganishwa na baadhi ya nchi jirani kama Kenya na Afrika...
  8. TANAPA yawasili visiwani Zanzibar kunadi vivutio na fursa za uwekezaji

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
  9. Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake (episode 2)

    EPISODE 2 Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika. ZIWA MOMELLA Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu mawili. Hakuna mito inayopeleka maji kwenye maziwa hayo bali huingiza maji kutoka chini ya ardhi. 1...
  10. Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya Taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake

    YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE. EPISODE 1 Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi inayokadiriwa kuwa na kilomita za mraba zisizopungua 500 sq. km. Huchukua takribani dakika 45 kuifikia...
  11. Tanzania yanadi Vivutio vyake kwa watalii na wawekezaji mahiri duniani

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewahakikishia kundi maalum la wawekezaji na watalii mahiri duniani zaidi ya 150 kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani lililowasili nchini Novemba 4,2023 kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana nao kikamilifu katika jitihada...
  12. Mbunge Cherehani: Askari wanyamapori kwenye Maeneo yasiyo na vivutio na wanyama

    "Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa 2023-2024 wanunuzi wameongeza Uzalishaji wa tani laki 214 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 900" -...
  13. Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

    Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania. Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia. Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza...
  14. Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo. Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
  15. SoC03 Utalii Wa Ndani Tanzania: Faida, Changamoto Na Vivutio

    UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
  16. Ni muda muafaka kuongeza Vivutio vya Utalii

    MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa 'The Royal Tour' ambao umesaidia kuongeza watalii na kuweka rekodi ya kupokea...
  17. Tupigie Kura Vivutio vyetu vya Kitalii

    https://www.worldtravelawards.com/nominees/2023/africa https://www.worldtravelawards.com/award-africas-leading-tourist-attraction-2023 Vilipo katika kinyanganyiro ni: Mlima Kilimanjaro Mbuga ya Ngorongoro Crater na Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere - Dar es Salaam
  18. W

    Madiwani wa Moshi DC kutembelea vivutio vya utalii kwa kigezo kuhamasisha utalii wa ndani ni kuwaibia wananchi fedha zao

    Madiwani wa Moshi mkoani Kilimanjaro wanatarajia kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo wilayani humo Jumamosi ya Tarehe 11 Februari 2023. Akizungumza kwenye kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kupitisha mapendekezo ya mwaka 2023-2024, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi Moris Makoi...
  19. Untold treasures: Mkoa wa Lindi na vivutio vya utalii.

    Habari za muda huu wapendwa, natumai Kila mtu ni mzima. Acha leo niwaonyeshe uzuri wa mkoa wa Lindi, mkoa uliopo kusini mwa Tanzania. Watu wengi hasa kutoka kasikazini, magharibi au hata Kanda ya kati wanaweza wasiufahamu vizuri mkoa huu. Si ajabu mtu akakuambia hajui kama Lindi ni mkoa. Baadhi...
  20. B

    Vivutio vya Tanzania kuwekwa kwenye jengo la Burj Khalifa ina maana gani kwa Taifa?

    Na Bwanku M Bwanku. Dubai pale Falme za Kiarabu (UAE) kwa sasa ni moja ya maeneo maarufu yanayotembelewa na watu wengi sana kila siku na kila mwaka. Kwasasa Dubai kunasifika ulimwenguni kote kwa Utalii wa hoteli, kupumzika, mikutano mikubwa ya Kimataifa, maonyesho na mikutano mikubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…