Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amezindua kiwanda cha vinywaji baridi cha Simba Beverages Limited kilichopo Chekereni Kibaha mkoani Pwani, tarehe 26 Oktoba 2026.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Kapinga alisema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya Simba Beverages ni kielelezo cha...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuhakikisha ndani ya miezi sita inatengeneza na kukamilisha sera ambayo itajumuisha vitu vingi ambayo itaongoza Biashara bunifu (Startups) ili kuratibu kwa kushirikiana na sekta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.