Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza
Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na mkakati thabiti zinahitajika. Mkakati huu unapaswa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Kuimarisha...
Historia ya Mapinduzi ya Viwanda
Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta, teknolojia hizo zimekuwa na tija katika uzalishaji na pia zimeambatana na changamoto mbalimbali...
Nchi yetu Tanzania na bara lote la Afrika linapaswa kuanza na mambo yafuatayo ili kuleta mapinduzi ya viwanda. Kwanza, ni muhimu kuunda sera zitakazo ongeza uwezo wa watu wabunifu kujiamini katika kazi zao. Pili, ni kubadili fikra za jamii juu ya uwezo wa wazalendo wenye vipaji mbalimbali vya...
Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
Utangulizi
Hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila na elimu bora ambayo ndiyo chimbuko la teknolojia mbalimbali zitumikazo viwandani. Teknolojia bora ndiyo msingi wa kuifanya nchi ipige hatua kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla. Kadri unavyokua na viwanda vingi ndivyo unavyoweza kutatua...
Tupeane and mbinu za kuanzisha viwanda vidogodogo, kama vya pipi, biscuit, sabuni za kioande, ungrateful, maji, kiwanda cha tooth sticks, plastic materials-viti, mesa.etc, fish filet processing,beef processing, ice creams, juice, rice and flour processing, mafuta ya kupaka
Na. Jofreyson1
TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news
Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi wake. Katika kuelekea kwenye Tanzania tuitakayo, ni muhimu kwa serikali kuwekeza kwa kina katika...
Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi.
Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu.
Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili.
Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira.
Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi,
Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda.
Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
Kuna watu tuna nusa kama mbwa.
Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo.
Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba.
Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye vowanda vya hapa nchini.
Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia kwenye bajeti ya wizara ya viwanda na...
Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na kusubiri hesabu ingawa baada ya muda wanapigwa na kitu kizito kichwani.
Wengine wanawekeza kwenye kilimo...
Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13
Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha
---
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 13 vya magari, kati ya viwanda hivyo, viwanda...
Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000
Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000
1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000
2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000
Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000
Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele hivyo vitatekelezwa...
Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa.
Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi?
Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi, Uzalishaji, Unafuu wa bidhaa na kuokoa fedha nyingi za kigeni zinazotumika katika uagizaji toka nje...
Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda.
1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali.
2. Kuwa na sera inayosimamiwa kikamilifu ili kuhakikisha waajiriwa katika viwanda wanapata ujira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.