viwandani

Viwandani is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 5,307.

View More On Wikipedia.org
  1. Lidafo

    SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
  2. houstony

    Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  3. mamba1

    Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
  4. DEICHMANN

    Nawezaje kutengeneza sukari ya asili? Nikiondoa sukari ya viwandani na Asali?

    Habarini!! Naomba namna ya kutengeneza sukari ya asili.Ukiondoa ya viwandani na asali.
  5. Hemedy Jr Junior

    Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  6. Expensive life

    Huku viwandani mshahara ni laki na kumi kwa mwezi kama hautaki sepa

    Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani? Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
  7. marundoo

    Kazi za viwandani Arusha connection

    Habari wanajamii forums. Kwa wakazi wa Arusha mjini na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa ajira na siku na muda wa kwenda kuomba kazi pia nini kinahitajika uendapo maeneo hayo Naomba...
  8. K

    Exported manufactured goods inject 3.2trilion Tzs in 2022

    The amount was more than double of the amount earned from exports of gold, or combined exports earnings from traditional exports, horticultural products and other minerals. This shows an ongoing expansion of industrialization drive, which the government embarked on transforming the economy to...
  9. Muddy123

    Natafuta kazi yoyote halali viwandani au kwenye kampuni

    Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya...
  10. Zekoddo

    Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za Viwandani

    Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa. Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo. Unaweza kushare hapa. Na kama una connection yoyote kwa kiwanda chochote, basi itakuwa vizuri
  11. Zekoddo

    Kazi za kutwa viwandani

    Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa. Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo. Unaweza kushare hapa
  12. A

    Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  13. M

    Biashara ya mbuzi viwandani

    Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi. Ahsanteni sana
  14. Nyambiza jr

    INAUZWA Motor inauzwa kwa matumizi ya viwandani

    Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
  15. Nuno esparito santo

    Natafuta kazi za viwandani msaada anaejua

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf. Asante sana.
  16. K

    Ntapataje kazi za viwandani/mchongo wowote halali?

    Wakuu habari zenu, kijana mwenzenu hali sio shwari tena wakuu Jaazi linaelekea kuzama, nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye mchongo wowote ule wa kuingiza kipato halali naomba aniunganishe. Na kama kuna mtu anaefanya kazi kiwandani au anajua kiwanda kinachotoa Ajira kwa sasa naomba msaada...
  17. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  18. Mpinzire

    Mikocheni Dar: Machinga wapigana na mgambo

    Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa...
Back
Top Bottom