vizazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jastertz

    Kwanini vizazi vya kati ya mwaka 1980 na 2000 wanajulikana kama Kizazi cha Msongo wa Mawazo?

    Ni mambo gani ambayo yamechangia hilo? Kwanza kabisa, hebu tuanze kwa kufafanua zaidi tatizo kubwa katika msongo wa mawazo. Hii inajidhihirisha kama dalili fulani, ambazo tunaweza kuangazia kama unapokuwa na msongo wa mawazo sehemu kubwa ya siku, kupungua kwa shauku katika shughuli ambazo hapo...
  2. USSR

    Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 . Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya...
  3. Mshana Jr

    Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

    Pepo la Umaskini Pepo la mikosi Pepo la kukosa ndoa Pepo la kuzalia nyumbani Pepo la ugumba Pepo migogoro na mafarakano Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk Haya mapepo hutembea na vizazi mpaka cha tatu ama cha nne.. Unapoona kwenye familia yako kuna...
  4. T

    Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

    Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati John Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa...
  5. Mr mutuu

    USHAURI: Kuna haja ya kuweka sheria kali za ushoga kama Uganda kunusuru vizazi vyetu

    Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
  6. T

    Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

    Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu Rais Samia ni jasiri...
  7. Crocodiletooth

    Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  8. G

    Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

    Habari Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
  9. Ngongo

    Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  10. P

    SoC02 Mirathi ilivyo mbolea ya umasikini na upoteaji wa asilia ya vizazi

    Moja ya majukumu yangu ni kuwasaidia wafiwa kuandaa nyaraka muhimu za mirathi na kuwapa ushauri ni namna gani wanaweza kulinda mali za wapendwa wao marehemu na haki za warithi wao kisheria pindi wanapokuwa wamefiwa ikiwemo ufunguaji na uteuzi wa wasimamizi wa mirathi. Katika utendaji wangu huu...
  11. M

    SoC02 Elimu ya sasa kwa vizazi vijavyo

    Elimu ni sekta muhimu sana katika nchi, hutazamwa pia kama ni sehemu inayozalisha wabeba maamuzi wenye taaluma mbalimbali na inapotokea kuonekana kuwa na changamoto, mapitio mapya yanayoweza kuchanganua mwenendo wa kielimu katika taifa. Mataifa ambayo yanajitabanaisha kuwa na elimu bora...
  12. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

    Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC) Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC) Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC) Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
  13. T

    Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  14. Mwande na Mndewa

    Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO Nanukuu Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu...
  15. Kididimo

    Kila viongozi wetu wawapo nje, wanaomba wageni waje kuwekeza na siyo kutuombea tukawekeze. Hii ni hatari kwa vizazi vikavyo

    Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha. Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu? Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa nje, nimemsikia Waziri Mkuu akimkaribisha na kumweleza mcheza filamu maarufu wa India aje kuwekeza...
  16. K

    Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
  17. M

    SoC01 Vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vijavyo vinaangamia kwakushindwa kuelewa maana halisi ya neno "Elimu"

    Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima. Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vinavyo kuja.Ili kujua maana halisi ya neno "elimu" na kuacha upotoshwaji mkubwa unao toka kwa wazazi...
  18. Matendo Andrew

    Serikali za Mitaa tungeni Sheria kuokoa vizazi hivi

    Mkoa wa Dar es Salaam nimoja kati ya mikoa yenye kitu kinaitwa shughuli Hii kitu hua ni familia fulani inaamua kuweka sherehe maalumu hua zina majina mfano beseni, arobaini, kumtoa mwali na majina mengine wazaramo wanajua sana hii kitu. Ukiangalia maudhui ya matukio haya hua sio mabaya...
  19. Red Giant

    Ni vitabu vyenye maudhui gani vinatakiwa kuandikwa ili kuweka historia ya nchi sawa na kufunza vizazi vijavyo?

    Nafikiri kuna mambo yanatakiwa kuwekwa katika vitabu ili kuweka historia sawa. Tunahitaji vitabu vidivyo kuwa kna muegemeo wowote, vitakavyotoa fact tu. Unafikiri vitabu kuhusu nini? Mimi nafikiri. 1. Kitabu kuhusu kashfa ya Lowasa na kujiuzulu kwake. 2. Kitabu kuhusu maisha ya JP Magufuli...
  20. Abrianna

    Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani. Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha...
Back
Top Bottom