Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia.
Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa suti yake imemkaa vyema sana hakika anaendana sana na Rais Samia.
Kongole kwake Afande, unaitendea...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo.
Amekimbia Muda wake mzuri...
Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
Na Kelly Ogome
Umoja wa Afrika AU umeipongeza China kwa mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo barani Afrika.
Amani Abou-Zeid, kamishina wa miundombinu na nishati wa Umoja wa Afrika amesema, China ni mshirika mkubwa katika kufanikisha maendeleo barani Afrika kupitia ujenzi wa miradi ya...
VAR ije Tanzania ili iweje?
Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside.
Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
1. Walter Reed foundation
2. USAID projects
3. TBL
4. SBL
5.TCC
6. Twiga Cement
7. Mbeya Cement
8. Alliance One Tobacco
9. Coca Cola
10. Toyota Tanzania
Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono.
Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu...
Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake...
Hello JF,
Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
Kupitia AzamTv kuna tamthilia inaitwa kombolela, iko vizuri sana, mimi sio mpenzi wa tamthilia za Bongo, ila hii ni kali.
Inaakisi maisha halisi ya uswahilini, maisha halisi ya Mtanzania wa hali ya chini(Mnyonge).
Maisha ya Familia zetu za kiswahili, Baba na Mama wanaishi pamoja na Watoto wao...
Hizi shule zinachukua wanafunzi wa wastani wa juu kabisa, yani wanafunzi waliofanya vizuri darasa la saba kwa kifupi wanachukua Cream tupu, Hapa naongelea shule kama Kibaha, Mzumbe, Kisimiri, Msalato, Tabora Boys n Girls , Kilakala na Ilboru .Shule hizi upande wa Olevel hazifanyi vizuri sana...
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.
Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona
Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'
Aidha amesema suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.