UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA?
Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine mnamo 2022. NATO ilipanua wanachama wake hadi mipaka ya Urusi, huku Urusi ikijibu kwa hatua...
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
========================================================
Russian...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho wa enzi kwa Dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.
Noti hizo za BRICS, ambazo zimeonekana...
Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024.
Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi...
Wanajamvi,
Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao.
Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC
Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
My Take
😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆 Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.
=========
Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili...
Waziri Mkuu Narendra Modi amekabidhiwa rasmi Nishani ya Mtakatifu Andrew Mtume wa Kwanza-Kuitwa, tuzo ya juu zaidi ya kiraia ya Urusi, katika Ukumbi wa St Catherine wa Kremlin ya Moscow Jumanne.
Tuzo hiyo ilitolewa kwa Waziri Mkuu Narendra Modi mwaka 2019 na jana Julai 9 alikabidhiwa rasmi na...
"In the West, the prevailing narrative is that Russia initiated the war with its special military operation and is therefore the aggressor, so it is allowed to attack the Russian territory using Western weaponry.
It is argued that Ukraine is merely defending itself, and is justified in doing...
Huyu ni mfungwa wa Zamani, aliyekaa Jela kwa miaka 9 kuanzaia miaka ya 1980,s mpaka miaka ya 1990 alipoachiwa kutokana na purukushani za kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
----------------------------------------------------------------------------------------------------
Bwana Prigozhin alizaliwa...
Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua.
Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro tangu ile siku alikoswa koswa pale Klemrin ambapo drones zilimfikishia salamu.
====
Belarus...
Zimejadili mpango wa kumuua Putin; Marekani yakiri uvujaji wa nyaraka za kijasusi ni jambo hatari.
Marekani imekiri kwamba uvujaji wa nyaraka za siri za Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon ni jambo hatari na kwamba suala hilo ni uvujishaji mkubwa wa taarifa za kijasusi.
Sambamba na hayo...
Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli.
Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika...
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.
Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu...
Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu.
Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine.
Ombi hili la afisa wa juu zaidi wa Ulaya kwa Rais wa...
Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa.
Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu wenye Uwezo wa akili wa Ziada, Mtu anaielezea Dunia mithili kama kaichora yeye mwenyewe.
Wengine...
Putin atoa wito wa kuwepo uhusiano wa karibu na mataifa ya Kiarabu.
Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini zina jukumu muhimu zaidi katika ulimwengu wa "multipolar", kiongozi huyo wa Urusi alisema.
Rais wa Urusi Vladmir Putin amehimiza kuwepo kwa uhusiano imara na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na...
Rais Vladimir Putin ameweka sheria ya kijeshi - kwa mara ya kwanza katika historia ya Urusi ya sasa, kwa sasa sheria hiyo inatekelezwa katika eneo pekee lililotwaliwa na Moscow.
Baraza la shirikisho liliidhinisha kwa kauli moja uamuzi wa Bw Putin. Rais mara moja alianzisha ''hatua'' mbali...
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin.
Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora.
Hii ni baada ya dicteta Putin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.