HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS.
Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring".
Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa...
Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?
Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas(Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk...
Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine.
Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya.
Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana.
===========...
Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia.
Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya...
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi.
Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii.
Dunia inashindwa kuwaelewa...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema mwisho wa siku Urusi hatimaye itaibuka na nguvu na uhuru zaidi baada ya kukabiliana na matatizo yaliyosababishwa na kile alichokiita vikwazo haramu vya nchi za Magharibi.
Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.