Asubuhi ya leo tarehe 29.1.2020 nilienda kutoa fedha kwenye kibanda cha M-Pesa. Nilifuata taratibu zote na nikaelezwa kuwa taratibu zimekamilika. Nilisubiri ili nipate ujumbe wa kutoa fedha bila mafanikio. Nilikaa pale kwa muda wa saa moja bila mafanikio na hivyo ikabidi niondoke.
Usiku huu saa...
1. What is the point of reminding me to register my number every time I make a call while:
- Due date is 20th Jan And today is 29!
- I registered my number a while ago!
Do you real care how I feel to be interrupted every time I make calls?
2. Why are you hiding your direct line to customer...
Mchakato wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole bado ni mgumu sana kwa sababu kadhaa. Moja na kubwa ikiwa ni ya NIDA kushindwa kutoa vitambulisho kwa wakati kulingana na idadi ya watu pamoja na mahitaji na muda uliopangwa. Pamoja na kuwa siku za kukamilisha usajili ziliongezwa, bado kuna...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ya robo ya mwaka inayoishia Septemba 2019 zinaonesha kuwa kampuni ya Vodacom Tanzania ndiyo inayoongoza kwa kutoza gharama kubwa zaidi ambapo hutoza TZS 205 kwa megabyte (MB) mteja anayotumia.
Wakati Vodacom ikitoza kiwango hicho...
Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?
You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya:
1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana?
2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double!
3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano...
Leo Jumatatu Desemba 23, 2019 Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiuzulu kwa wakurugenzi wawili Andries Delport na Till Streichert kuanzia Mei na Juni 2020.
Wakurugenzi wawili wa bodi ya kampuni ya Vodacom Tanzania; Andries Delport na Till Streichert wametangaza kujiuzulu.
Tangazo...
Mimi ni mteja wa Vodacom nikiwa na line yao na pia line yao ya internet. Nimekuwa nikinunua kifurushi chao kila mwezi kwa gharama ya Tshs. 35,000 na kifurushi hiki kwa siku za nyuma nilikuwa ninakitumia kwa mwezi mzima.
Nimeendelea kununua kifurushi cha GB10 kwa Tshs. 35,000 ili nikitumie kwa...
To:
Minister of Labor,
The United Republic of Tanzania,
Prime Minister's office,
Labor, Youth, Employment and Persons with disabilities,
P. O Box 2890,
Dodoma.
28th November 2019
Dear Sirs,
RE: ESCALTION ON GOING FORGED WORK PERMIT BY Mr. LUIS EDUARDO FEDRIANI – VODACOM Plc EMPLOYEE
Refer to...
Mimi ni mteja mkubwa wa Vodacom nikinunua bundle ya kila mwezi ya Tshs.35000.
Nilinunua bundle ya Tshs.35000 ya GB 10 tarehe 27/11/2019 leo tarehe 30/11/2019 nimepata message kuwa kifurushi changu kimeisha wakati zamani nilikuwa natumia bundle kwa mwezi mzima.
Bado sijaamini macho yangu...
Position Manager: Resourcing and Development - HRLDOE
Role purpose:
Delivering an employee experience that unlocks personal growth & business performance by creating a strong community that everyone is proud to be part of.
Responsible for acquiring and developing skills and capabilities...
Habari Wana JF,
Nataka kuwa B2B (Business to Business) customer kwenye moja ya mitandao niliyoitaja hapo juu ambapo nitakuwa nanunua kifurushi kila mwezi. Huwa natumia sana kwenye internet. Naomba kufahamu ni mtandao gani mzuri sana kwenye internet. Nipo Mbeya
Natanguliza shukrani wadau
NAYASHITAKI MAKAMPUNI MANNE YA SIMU.
BASHIR YAKUB, Wakili.
0714047241
Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30...
Jobs in Tanzania: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania, 2019
AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019
Position: Administrator: M-PESA Agents - MPESAN
JOB PURPOSE
The M-PESA Agent Administrator will be responsible to assist the M-PESA support Managers deliver against M-PESA revenue targets...
Kwanza kabisa naomba kuwasalimu wote,
Baada ya hapo kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kueleza jinsi ilivyokuwa hadi mimi kufikia hatua ya kusema kuwa VodaCom wamevujisha taarifa zangu za mawasiliano
Leo majira ya saa nane mchana, niliwasiliana na mwenye nyumba wangu kuhusu tatizo la...
$350 million (675 BILLION SHILLINGS) stolen from Tanzanians in Vodacom scandal
Posted on April 27, 2015
- Tycoons Tanil Somaiya & Rostam Aziz implicated in the scam
- Vodacom Tanzania MD Rene Meza receives $5 million bribe to keep silent
- Tax worth over 121.5 billion/- evaded in the deal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.