Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024.
Russia ilifyatua makombora aina ya cruise na makombora ya balistiki kuelekea Ukraine katika shambulio kubwa usiku kucha...
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.
Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki...
Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k.
Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao...
Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva
Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani ni Security Guarantee. Maana yake anamtaka USA aingie direct conflict na Russia.
Trump alikuwa...
Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani
Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House.
Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona...
Maseneta mbalimbali wanasema hawakubaliani na mtazamo wa Putin katika kuumaliza mgogoro wa vita ya Ukraine kwa vile Trump anatumika na Putin kulazimisha matakwa ya Putin.
Jumatano iliyopita, Rais Trump akiwa Miami alisema kuwa Zelenskyy lazima akubaliane na mpango wa kumaliza vita, au la...
Wanaukimbi.
Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.
"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.
Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says...
Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine
KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia ya mabilioni ya dola, ikiw ani hatua kubwa kuelekea kumaliza vita vikali vya Russia dhidi ya taifa...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amewaagiza wasaidizi wake kukataa pendekezo kutoka kwa maafisa wa utawala wa Trump ambalo lingewapa Marekani upatikanaji mkubwa wa madini adimu ya Ukraine, afisa mmoja wa Ukraine aliye karibu na Zelenskyy amethibitisha kwa NBC News.
Maafisa wa Marekani...
Kipindi akiwa kwenye kampeni za kutafuta Urais mwaka 2024, Rais wa Marekani Donald Trump aliahidi kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Urusi
Mwezi takribani mmoja baada ya kuapishwa, tayari mazungumzo yameanza kufanyika ili vita hiyo iliyoanza rasmi mwaka 2022 imalizike
Jumanne ya leo Russia na...
Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa 1 na nusu na kudokeza kuwa wawili hao wamekubaliana kufanya lazi pamoja.
Katika ujumbe wake pia...
Wanaukumbi.
🚨🇺🇦 BREAKING: Wanachama wafuatao wa Serikali ya Ukraini WAMEJIUZULU EN MASSE hadi Zelensky:
Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro Kuleba
Waziri wa Sheria Denis Maliuska;
Waziri wa Viwanda vya Kimkakati Alexander Kamyshin
Waziri wa Ulinzi wa Mazingira na Maliasili Ruslan Strelets
Naibu...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine.
Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya awali inaonyeshakuwa mji huo wa mashariki ulishambuliwa na makombora mawili ya ballistic yaUrusi...
Inaaminika siku za kuishi Zelensky zinakaribia kufika ukingoni. Anasema mchambuzi mwandamizi wa maswala ya kivita na siasa za kimataifa Scott Ritter, ambaye nijasusi mstaafu wa US.
Ritter anafafanua zaidi na kusema kuna kila dalili Zelensky atafia mikononi mwa magerali wake.
Ritter anaendelea...
Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama...
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.
Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden...
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.
Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.
Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.
Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana...
Baada ya kilio cha muda mrefu na kutegeana kwa mataifa ya magharibi yanayoisaidia Ukraine kupambana na Urusi hatimae mataifa hayo yamekubali kuipelekea Ukraine ilichodai kwa muda mrefu navyo ni vifari vya Leopard kutoka Ujerumani na Abrahms kutoka Marekani.
Hata hivyo muda mfupi baada ya...
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na Ufaransa siku ya Jumapili kuchezwa, ichezwe video yake uwanjani hapo ili kuhamasisha amani.
Zelensky...
Raisi Zelensky usiku wakuamkia leo Amesema nchi yake inapoteza wanajeshi 60-100 kila siku kwenye mapambano yanayoendelea nchini kwake.
Amezungumza hayo katika mahojiano yake na kituo Cha television Cha NEWSMAX TV CHANNEL kuhusiana na Hali ya Vita mashariki mwa Ukraine.
Zelensky alisisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.