volodymyr zelensky

  1. beth

    Zelensky: Acheni kucheza na Urusi, vikwazo zaidi viwekwe

    Rais Volodymyr Zelensky ameyataka Mataifa ya Magharibi kuacha michezo na kuiwekea Urusi vikwazo vikali ili kumaliza vita, akisisitiza Ukraine itabaki kuwa Nchi Huru Siku za hivi karibuni, Zelensky amekuwa akikosoa vikali Nchi za Magharibi huku Vikosi vya Urusi vikijaribu kudhibiti Miji miwili...
  2. JanguKamaJangu

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao. Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury Borisov kudaia kuwa wana teknolojia yenye uwezo wa kuangusha ndege zisizo na rubani kwa umbali wa Kilometa...
  3. TODAYS

    Zelensky aonya kuwa Dunia inapaswa kuwa tayari kwa uwezekano wa Urusi kutumika silaha za nyuklia

    Hii ni kauli ya rais wa Ukraine ndugu Volodymyr Zelensky alipokuwa anahojiwa juu ya vita inayoendela kwamba mwamba anaweza kugeukia silaha za nyuklia au za kemikali kwa sababu hathamini maisha ya watu wa Ukraine. "Sio mimi tu bali ulimwenguni wote, nchi zote lazima ziwe na wasiwasi kwa sababu...
  4. joto la jiwe

    Kenya nayo yaitetea Urusi, yaungana na Tanzania na nchi nyingine za Afrika

    Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi. Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii. Dunia inashindwa kuwaelewa...
  5. Analogia Malenga

    Zelensky: Kufeli kwa mazungumzo kutamaanisha 'Vita vya Tatu vya Dunia'

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa anaamini kushindwa kufanikisha mazungumzo ya kumaliza uvamizi wa Urusi kutamaanisha "vita vya tatu vya dunia". Akizungumza na CNN Jumapili, Zelensky alisema yuko tayari kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin, akiongeza kuwa...
  6. Askarimaji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...
  7. S

    Zelensky wa Ukraine afananishwa kiwasifuna Al-Sahaf (Baghdad Bob) wa Iraq

    Kama ulikuwepo kipindi cha vita ya pili ya Marekani nchini Iraq (2003 - 2011), inawezekana utamkumbuka Baghdad bob, Mohammed Saeed al-Sahaf, ambae alikuwa ni Waziri wa Habari wa Iraq na wakati huo huo ni mugizaji (part-time comedian). Hadi hatua za mwisho mbaya wa kuanguka kwa serikali ya Iraq...
  8. Kasomi

    Mfahamu Volodymyr Zelensky, Rais wa Ukraine

    Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi wa filamu, mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019. Kabla ya kujihusisha na siasa, alipata shahada ya sheria na baadaye akaanzisha kampuni ya filamu, katuni na...
Back
Top Bottom